Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Hawawezi kwasababu zilikua tayari procured labda wabdlishie gia hewani kitu ambacho kitakua more costfulTunatakiwa tupige kelele wasije kutuletea mabomu ya nyuklia kwenye SGR mana washaanza upumbavu.
Ingekua angalauSijui tulikosea wapi, huyu ndio alifaa kuwa VP, tumeenda kuangukia janga!
Mmh Uganda wamekula shavu
Samia on the wheelsNajua itauma lakini huu ndio ukweli,
Hii treni ni kizamani Sana, hata kama ni MGR, naomba tulinganishe MGR ya Magufuli na huyu mama.
Magufuli
View attachment 2103212
Samia
View attachment 2103213
Tuliwacheka wakenya sasa ni zamu Yao kutucheka. Hata sasa sina Imani na aina za treni SGR kama tulizoambiwa na Magufuli ndo zitakuja. Nilisema tokea Mwanzo,huyu mama sio kabisa,Ila kuna wajinga wengi humu hawanielewi. Time will tell!😡
Tz tunaweza kila kitu sema huyu mama mpuuzi ndiyo tatizoMtaleta "SGR" emu acha utani wewe
Huu utoto sasa! Mama kuingia madarakani March na ku-order vichwa na kuwa delivered January! huku budget zikipitishwa mwezi wa nane!Acha upimbi,vya Magufuli hivi hapa
View attachment 2103677
Hivyo vilivyokuja ni vyenu na mama yenu !
https://www.google.com/url?sa=t&sou...8QFnoECAQQAQ&usg=AOvVaw2CBVtk4X3mOkspO9jpsV2lMkiaangalia hizo vichwa vya treni kwa pembeni mkono wa kulia halafu mgoogle hayo maneno herufi 3 mtagundua ni za wapi, za nini na zimetoka nchi gani.
Ndo maana sijacoment popote. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafiti watu wangu, tafiti.
Mkiaangalia hizo vichwa vya treni kwa pembeni mkono wa kulia halafu mgoogle hayo maneno herufi 3 mtagundua ni za wapi, za nini na zimetoka nchi gani.
Ndo maana sijacoment popote. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafiti watu wangu, tafiti.
Watu wapuuzi sana vichwa kwa ajili ya ku-scan railtrack tayari kelele halafu vipo modern!https://www.google.com/url?sa=t&sou...8QFnoECAQQAQ&usg=AOvVaw2CBVtk4X3mOkspO9jpsV2l
Kama hii Ndio kazi yake basi tupo vizuri👆👆
Hii ndio wanaliita Bomu la Githeri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Boss Tutulie tu [emoji26][emoji23] Mtungi wa chang'aa hatimaye watua Dar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bomu la Hiroshima [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2103262
We kipofu, wacha kujaribubkuongoza wanao ona kaa kwenye line yakoKigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
Kikweti ni basha we mzoeee tu .....daraja la kikwete watu wanavuka kwa kulipia pesa na ukienda na kamera kuchukua picha kunauthibiti ili kuficha ufisadi unao fanyika kwenye makusanyo ya pesaWewe ondoa ujinga wako bhana.Umekua mtu wa ajabu.Hujui Hilo daraja aliyeleta na kubuniwa wakati wa Rais kikwete,kila kitu kilikua kimekaa sawa March 2015,Nikikumbushe tu utaratibu wa serikali linapotajwa neno "Rais"Hutajwa kiti kitukufu kinachokaliwa na mtu aliyeshika madaraka ya Rais.Kwa uninga wako unadhani dua zako zitaondoa sifa za kiti kitukufu cha Rais.My brother hata ungepopoma usiku kucha haibadilishi kitu heshimu kiti cha Rais Kwanza bila kujali aliyekalia unampenda au la
We mpumbaavu umetoka wapi ,kikwete alifanikiwa kuleta kipindupindu tu na panya road na matejaKigamboni bridge ilifeli? Tazara flyover ilifeli? Tanzanite bridge imefeli? uongozi ni vision na utekelezaji ni matunda ya vision.Labda hujui Ubinge interchange ni project iliyokamilishwa na Kikwete JPM alitekelezwa Kama ambavyo angekuepo Rais yeyote.Tazam highway Iyovi to Mafinga(Standard Road) ilifeli? Et al
Tupoo. Hivii. What is the exactly name of that bridgeWadau hakuna wazee wa graphics watamu tupate T- shirt za bridge letu kama ilivyo kwa Queens, London au golden state!
View attachment 2103357View attachment 2103355View attachment 2103356
Unaharisha au unatapika? Wewe Takwimu kama hizi uliwahi kuziona wakati mnaimba pambio za kumsifu dume lenu?Wachw kubwata utahira hapa, uchumi gani unao uzungumzia hapa ww kizuu, maisha yamezidi ugumu watu wanalia uko apa kuimba pambio za kipuuzii,wakati unabwatuka u ajua mfumuko wa bei ukoje Tz sahii?wacha ujinga apaa