kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
eti holidays...smh.Kwa hoja kama hizo zinazohusu wakenya na ambazo huyaelewi, ni vizuri kuuliza ndipo ujibiwe.
First you should know that Kenyans love holidays like crazy when that little chance comes by they make full use if it.
Secondly, Kenyans would go spend their holidays with their extended families. most Kenyans are in nairobi for work but have a rural home.
The most important part of this is that Kenyans go to ushago where they registered so that they have their chance to vote in his MCA, Governor, Senator, Women Representative, his Member of Parliament and ultimately the president of his choice.
So the travelling doesn't necessarily idicate any form of tension though you won't dismiss the fact that some small percentage could go out of security concerns which is their personal issue....
huna la kunidanganya kaka.nimeishi kenya kwa mda mrefu hivyo nina uhakika na nililo zungumza.
katika kampeni za uchaguzi zilizopita ambazo zilizomuingiza uhuru kenyatta kwa mara ya kwanza katika urais mwaka 2013,nilikuwa nairobi.
siku chache kabla siku ya kupiga kura,nilishuhudia kwa macho yangu taharuki iliyotanda miongoni mwa wakazi wa Nairobi.
baadhi waliikimbia nairobi na kurudi ushago/mashinani kuhofia ghasia.
nilitaka nibaki mpaka siku ya kupiga kura,jamaa zangu ambao ni wakenya walinishauri nirudi tz mpaka uchaguzi upite ndio nirudi kuendelea na shughuli zangu.