Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Some landscaping was going on
Kuna kitu kimoja nimejifunza hapa na nadhani na nyie mnahitajika kujifunza
Chukua mfano south Africa ya miaka ya 90 na ya sasa,
Nairobi haibadiliki, iko vilevile ila dsm inabadilika kila kukicha, nairobi ni mji wa kitalii ndio maana miaka ya nyima ilijengwa sana ili kuvutia watalii zaidi, but dsm ni mji wa biashara, ukilinganisha dsm ya mwaka 1990 na nairobi ya 1990 ni sawa kusema nairobi ilikuwa juu sana ila ukizungumzia dsm ya 2017 na nairobi ya 2017 dsm imeiacha mbali sana naii, nairobi mpk leo wanazungumzia matatu, yani daladala wakati dsm tunazungumzia brt tumeshaachana na daladala, nairobi wanazungumzia highways, dsm inazungumzia flyovers, ndio maana nikasema nairobi imebakia palepale ilipo wakati dsm kila sekunde inabadilika, so wanairobi acheni kukariri nendeni kwa facts, hata binti akiwa bikra ipo siku atazeeka tuu
there is no ranking in this list. when we talk beauty of the African Cities,, we talk Nairobi & Capetown. when we talk most developed cities in Africa, we talk of Jo'burg, Nairobi & Cairo. however dar has grown significantly over the last decade. but still Nairobi is way too far ahead than the slummy dar is slumKwenye list ya 10 beautiful cities in africa dsm ni ya pili nairobi ya 7
Top 10 Most Beautiful And Most Developed Cities in Africa
Kumbuka Nai haijaifikia Pretoria,cape town,Durban kwa lolote ,Dar ofcz siwez sema ni beauty as far as bado kuna changamoto nyingi, but dar is developing, Ukweli Ni kwamba Dar inakua kwa kasi zaidi ya Nai, Nai inakua kwa kasi baada ya Dar , Kusema Nai ipo nyuma ya jozi na Cairo ni kujipumbaza tu sio ukweli. ...infact Nai inatuzidi miundombinu kadhaa ambayo ipo tayar inafanyiwa kazi. ..Basing on reality Nairobi and Dar are all developing cities, we have not attained developed city status yet!!there is no ranking in this list. when we talk beauty of the African Cities,, we talk Nairobi & Capetown. when we talk most developed cities in Africa, we talk of Jo'burg, Nairobi & Cairo. however dar has grown significantly over the last decade. but still Nairobi is way too far ahead than the slummy dar is slum
So in short that means weve learned our lesson after 2007,ama watu waoga kupigana do u think they can fight reallywhile many kenyans are leaving nairobi and go to ushago in their escape of violence that might occur few days before and after election, i'm somewhere in dar drinking castle lager and enjoying the music vibe like a boss.
![]()
![]()
![]()
![]()
umewauwa.....Kwenye list ya 10 beautiful cities in africa dsm ni ya pili nairobi ya 7
Top 10 Most Beautiful And Most Developed Cities in Africa

safiBREAKING NEWS: YOU CAN TAKE THIS TO THE BANK, THERE WILL BE PEACE AFTER ELECTIONS WALE WATANZANIA WANATUOTEA TUPIGANE THEY STEAL OUR MARKET YOU WILL BE VERY DISSAPOINTED
Sent using Jamii Forums mobile app
hivyo vitu ndiyo tunapenda mjifunze kupitia sisi wa TZ ....japokuwa viongozi kadhaa hatupo nao duniani...HIVI NDIVYO TUTAKAVYOENDA SAMBAMBA NI HAWA STUPID KENYAN
![]()