Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeme na bandari ziko nje kabisa ya 12$
Yani 12$ ni kodi ya ardhi ya kupitisha hilo bomba
Ambayo kila barrel itakayopita italipiwa 12$

Haya nimekupata ...sio kwamba cjaona dho magufuli alichosema ..mm nataka ujarbubku reason..kama barrel kwenye markert inauzwa 50usd ..watoe 12usd .kwa Tz ..wabaki na 38usd hyo 38 wagawanye makampuni matatu ..bado bei za uchimbaji ..bado Uganda wenye mali yao hawajapewa pesa ..amabao wao wanabid wapate kama 25usd hiv per barrel..ungeniambia ni 12.5usd kila kitu nngekubali kirahisi..anyways ni mambo yao hayo..lets wait ..i want the 12.5 usd iwe yz Tz
 
Haya nimekupata ...sio kwamba cjaona dho magufuli alichosema ..mm nataka ujarbubku reason..kama barrel kwenye markert inauzwa 50usd ..watoe 12usd .kwa Tz ..wabaki na 38usd hyo 38 wagawanye makampuni matatu ..bado bei za uchimbaji ..bado Uganda wenye mali yao hawajapewa pesa ..amabao wao wanabid wapate kama 25usd hiv per barrell
Una hoja nzuri, tatizo majibu unayopewa hayaridhishi.
 
Haya nimekupata ...sio kwamba cjaona dho magufuli alichosema ..mm nataka ujarbubku reason..kama barrel kwenye markert inauzwa 50usd ..watoe 12usd .kwa Tz ..wabaki na 38usd hyo 38 wagawanye makampuni matatu ..bado bei za uchimbaji ..bado Uganda wenye mali yao hawajapewa pesa ..amabao wao wanabid wapate kama 25usd hiv per barrell
Listen bro kumbuka hio ni crude oil na crude oil inakua bado haijaongezwa thaman yake na wataipeleka nje kwa ajili ya manufaa ya nchi hizo zilizo kwenye uchimbaji na kumbuka tumetoa ardhi urefu wa km 1115 na bei ya crude oil inapanda na kushuka kulingana na soko la dunia
 
Aye..bro nimekupata ..a very profitable bznc then ...maana kwa Trillion 2.16 kwa TRA hio pesa ndefu sana...SGR kila mkoa mbona itapita.
 
Aye..bro nimekupata ..a very profitable bznc then ...maana kwa Trillion 2.16 kwa TRA hio pesa ndefu sana...SGR kila mkoa mbona itapita.
Ndio project iliwatoa wakenya machozi mpaka kesho kenyata alikimbia mpka ufaransa kuhusu hii project lakin haikuzaa matunda
 
Ckikiza muliasa ..hata mm napenda Tz ipate pesa nyng sana ..in some point inabid uwe realstic ...barrel ni dola 50 ..wakulipe wewe dola 12 1/3 ya pesa ya barrel ..kwa kipi ulichochangia ..kumbuka hayo mafuta yana chimbwa na kampuni tatu ndo unataka wagawane hizo pesa au ..bado hujalipia usafir wa meli ..vitu vingine tumia akili tu ..hatuez lipwa dola 12 kwa barrel na wakat barrel ni dola 50 ..ukizngatia ..tumetoa ardhi tu
Mkuu ingia you tube sikiliza hotuba ya Museveni. Uzuli sio ndefu sana. Wakenya walitaka walipwe $17 sisi tukatoa offer ya $12 kwa pipa. My friend this is black gold. Kumbuka pipa la mafuta upanda had I $120. Wewe hizo fikra zako usizilete humu. Tunaenda na facts na evidence
Screenshot_2017-08-05-23-27-30.png
Screenshot_2017-08-05-23-27-30.png
 
Mkuu ingia you tube sikiliza hotuba ya Museveni. Uzuli sio ndefu sana. Wakenya walitaka walipwe $17 sisi tukatoa offer ya $12 kwa pipa. My friend this is black gold. Kumbuka pipa la mafuta upanda had I $120. Wewe hizo fikra zako usizilete humu. Tunaenda na facts na evidenceView attachment 559010 View attachment 559010

Nilihitaji kueleweshwa tu ..cio ugomvi bro..wote tunapend maendeleo ya Tz
 
2.16 tz trillion = 99 b Kenyan shillings

Tea alone earns Kenya 150 b
Horticulture earns more than 100b
Tourism more than 100b
KRA collected 1.374 trillion Kenyan shillings 2016/17
Kenya would earn usd 50 per barrel from the turkana oil
Kenya has discovered natural gases in wajir county
List is endless...its an archievement to have the pipeline but you guys are over excited

sent from iPhone 7
 
Thats tax only.....
Kumbuka hio hela ...hAkuna jasho letu hata kidogo
Turkna mafuta ni kidogo mnoo
Bado meli zao hazijalipa kodi bandarini
 
Nimegundua Mtanzania ukimwambia billion au trillion anaona unamchanganya. Ndo maana hata ripoti ya makinikia watanzania wengi huwa hawaiyamini. Mtu anashangaa Tanzania kuingiza billion 5.6 kwa siku lakini hashangai Neymar kununuliwa kwa zaidi ya billion 200.

hata mimi nashangaa watu wagumu kuamini ndio maana tunaibiwa kwa watu kufikilia hatuna uwezo wa kukusanya kiasi hicho cha fedha, wakumbuke hata madini yangekuwa na mikataba mizuri kama hii tungekuwa tuko mbali sana,
 
Waliko kimbilia leo hapajulikani. Wametuachia thread. Watakuja kesho kwa kunyatia. Kwa sasa wanachungulia.View attachment 559007
View attachment 559008

wengi wao nyakati kama hizi,wanarudi ushago kujihami na uchaguzi.hawataki uchaguzi uwakute nairobi.

mbaya zaidi ushago kuna access finyu ya huduma za internet that's why hata wale wa ku-repost picha za cbd ambazo zinapatikana kiurahisi kwenye mtandao,hawaonekani kufanya hivyo.

kwasababu fulani fulani,ni heri kupiga kura ukiwa ushago kwenu kuliko upige kura ukiwa katika mji ambao sio wa kwenu.hiyo ndio Kenya.
2c1475974b83fb115597ca63b50fd626.jpg
 
2.16 tz trillion = 99 b Kenyan shillings

Tea alone earns Kenya 150 b
Horticulture earns more than 100b
Tourism more than 100b
KRA collected 1.374 trillion Kenyan shillings 2016/17
Kenya would earn usd 50 per barrel from the turkana oil
Kenya has discovered natural gases in wajir county
List is endless...its an archievement to have the pipeline but you guys are over excited

sent from iPhone 7
mfa maji haishi kutapa tapa.
 
Collo kashaikimbia Nairobi.kaenda ushago kukwepa hekaheka za Nairobi nyakati wa kupiga kura na kutangaza matokeo.kipindi hiki kimya Kenya huwa na tension sana, kila mkenya huchukua tafadhali mapema.

Utaniua kijana
 
Back
Top Bottom