My mother is the best cook in the whole world reasoning [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , yaani chips ya kupikwa kando ya barabara kama mahindi choma na ya vibanda zile ambazo tunaziita "chips mwitu" zimejaa kila kona ya nchi., unajua ni kwa nini wakenya walikashifu KFC kilaza? chunguzeni mambo kabla ya kukurupuka.., mnajiaibisha kila uchao., ona poverty index report mlikimbia nayo bila ya kusoma., jinga type Tanganyikas, watu wa vioja na ushamba, hakuna comedians kama nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Si ni wewe
chongchung ulikurupuka tena na list ya top 20 richest people in the small Dar stock exchange bila kuchunguza top 20 in Nairobi stock exchange wako vipi na value yao, wamewaacha hao top 20 ya Dar by far [emoji23] [emoji23] [emoji23] ., yaani uko hovyo siku zote [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]