Pigo kubwa sana tena sana kwa wakenya😀5.6 bn X 365days = 2244billions per year mkuu,
Hahahahahaha
Convert this figure into Ksh..
View attachment 558906
Tukikusanya huu mpunga wa mafuta na bomba la waganda kwa miaka mitano tutajenga electrified SGR nyininge Dar to Mbeya.
Dadeq. Sometimes you don't have to work hard like Donkeys, only you have to be smart.
hiyo si fedha ya kitoto....wakenya wanakodoa kodoooo.5.6 bn X 365days = 2244billions per year mkuu,
Hahahahahaha
Convert this figure into Ksh..
View attachment 558906
Tukikusanya huu mpunga wa mafuta na bomba la waganda kwa miaka mitano tutajenga electrified SGR nyininge Dar to Mbeya.
Dadeq. Sometimes you don't have to work hard like Donkeys, only you have to be smart.


Hivi wewe umesikiliza hotuba vizuri unaposema sio $12 Ingia YouTube usikilize hotuba ya Museveni vizuri. Kasema kwa sasa pipa moja ni $50 kutokana nakushuka bei ya mafuta, TZ mmetusaidia kutoa jumla ya kodi tatu kwa hiyo tutakuwa tukilipa $12 kwa pipa. Hiyo aijalishi bei imepanda au imeshuka. Kwa barrel ni $12 ya TZ hizo point zako niza bibi yako asiyeipenda maendeleo TZ. Hivi wewe ulisikiliza uzinduzi wa bomba la Dawasco??Mkuu hyo hela yote haiwez kwenda Tz ..dola 12.5 ni nying ukizngatia price per barrel ni kama dola 50 ..so tunaeza tukala labda hata 0.1usd to 1usd per barrel ...sema sio mbaya cause Tz inatoa ardhi tu ..ni kama hela ya bure ..hata hvyo ni nyng ..ukichukua 0.1 mara 200,000 ni kama dola 20,000kwa cku bado ni pesa ndefu ..ukizngatia Tz haifanyi kazi yoyote ile
Hivi wewe umesikiliza hotuba vizuri unaposema sio $12 Ingia YouTube usikilize hotuba ya Museveni vizuri. Kasema kwa sasa pipa moja ni $50 kutokana nakusha bei ya mafuta, TZ mmetusaidia kutoa jumla ya kodi tatu kwa hiyo tutakuwa tukilipa $12 kwa pipa. Hiyo aijalishi bei imepanda au imeshuka. Kwa barrel ni $12 ya TZ hizo point zako niza bibi yako asiyeipenda maendeleo ya TZ. Hivi wewe ulisikiliza uzinduzi wa bombs la Dawasco??
It's $12 per barrel hilo lilisemwa sana mbona na magazeti yashaandika since kitambo.Ckikiza muliasa ..hata mm napenda Tz ipate pesa nyng sana ..in some point inabid uwe realstic ...barrel ni dola 50 ..wakulipe wewe dola 12 1/3 ya pesa ya barrel ..kwa kipi ulichochangia ..kumbuka hayo mafuta yana chimbwa na kampuni tatu ndo unataka wagawane hizo pesa au ..bado hujalipia usafir wa meli ..vitu vingine tumia akili tu ..hatuez lipwa dola 12 kwa barrel na wakat barrel ni dola 50 ..ukizngatia ..tumetoa ardhi tu
It's $12 per barrel hilo lilisemwa sana mbona na magazeti yashaandika since kitambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo ardhi tu, na ulinzi pia kijana.Ckikiza muliasa ..hata mm napenda Tz ipate pesa nyng sana ..in some point inabid uwe realstic ...barrel ni dola 50 ..wakulipe wewe dola 12 1/3 ya pesa ya barrel ..kwa kipi ulichochangia ..kumbuka hayo mafuta yana chimbwa na kampuni tatu ndo unataka wagawane hizo pesa au ..bado hujalipia usafir wa meli ..vitu vingine tumia akili tu ..hatuez lipwa dola 12 kwa barrel na wakat barrel ni dola 50 ..ukizngatia ..tumetoa ardhi tu
Kumbe bro wewe huna information kabisa 12$ is per barrel ambayo ni kodi kwa tanzania...ardhi ni mali kaka na sio ardhi tu tumetoa na bandari ambayo itakusanya kodi pia na umeme pia kwa ajil ya pumps etcCkikiza muliasa ..hata mm napenda Tz ipate pesa nyng sana ..in some point inabid uwe realstic ...barrel ni dola 50 ..wakulipe wewe dola 12 1/3 ya pesa ya barrel ..kwa kipi ulichochangia ..kumbuka hayo mafuta yana chimbwa na kampuni tatu ndo unataka wagawane hizo pesa au ..bado hujalipia usafir wa meli ..vitu vingine tumia akili tu ..hatuez lipwa dola 12 kwa barrel na wakat barrel ni dola 50 ..ukizngatia ..tumetoa ardhi tu
You might have a point though..... I'm no expert.Yes thats overall transporation cost ambayo itagawanywa...anyways haya tusubir hyo 12.5usd ..na wakati barrel price ni 50usd..total hawa watulipe hizo..bilion 6 kwa cku ..biliioni 180 kwa mwezi ..tsh trioloni 2.16 kwa mwaka ..na bomba limejengwa kwa. Trilion 8 ..reasoning naona inakua ngumu kwa Wa sisi Wa Tz ...
Kumbe bro wewe huna information kabisa 12$ is per barrel ambayo ni kodi kwa tanzania...ardhi ni mali kaka na sio ardhi tu tumetoa na bandari ambayo itakusanya kodi pia na umeme pia kwa ajil ya pumps etc
Umeme na bandari ziko nje kabisa ya 12$Wewe umenielezea vzur ..kama na umeme na ardhi na banadari zote ni ndani ya hyo sawa then 12.5usd it is ...lets wait for our triliion 2.16 at end of every year ..this thing is so profitable
Tena sana we huoni wakenya walihangaika sana kuhusu hio project mpaka machozi yaliwatokaWewe umenielezea vzur ..kama na umeme na ardhi na banadari zote ni ndani ya hyo sawa then 12.5usd it is ...lets wait for our triliion 2.16 at end of every year ..this thing is so profitable