El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
inategemea na umbali wa Nairobi na ushago kwenu.
kama wewe ushago kwenu ni nyeri au murang'a,huna sababu ya kuikimbia Nairobi nyakati za uchaguzi.
watu wanaoimbia Nairobi ni wale ambao umbali wa kwao na Nairobi ni mkubwa.
jamaa zangu wa coast wanaoishi nairobi,wote wamerejea makwao mashinani kwenda kupiga kura.
either way kura za Nairobi huwa half half since time immemorial.