Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

my Gotv decoder has 159 channels but i dont have any Tanzanian Channel.I used to access EATV but it vanished
if tz tv stations are not accessible in your decoder,go to app store and download azam tv app.

after it's installed, tune to azam two.the event is shown live.
this service is available for free.
enjoy.
f32dff8ed19f7c4fcd68c748ec74172f.jpg
ced09db3a1b1109190af7dc20414c252.jpg
 
Out of topic ..just updates
A 5MW solar plant in Kigoma region Tz..one of the largest in Tz nearly to be completed

7ead952113a4a53c9a9fe4a18edf2581.jpg

e9619011ebd324cdceb50d283c13b776.jpg
 
Ushago ndio nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
vijijini/mashambani/mashinani.

kutokana na makovu ya uchaguzi wa 2007-8,wakenya wengi inapofika nyakati za uchaguzi,kila mtu hurudi ushago kwake kuwa karibu na watu wake wa kikabila au ukoo ili kama ghasia ikitokea iwe rahisi kujilinda kuliko ukiwa mbali na eneo la kwenu.that's the logic behind.

siasa za kenya ni trick sana
 
watu huishi slums ndio huhepa......half of my Family is voting in Nairobi. Nairobi bado kuna 2.4 million voters and Nairobi kura huwa 50-50
 
watu huishi slums ndio huhepa......half of my Family is voting in Nairobi. Nairobi bado kuna 2.4 million voters and Nairobi kura huwa 50-50

inategemea na umbali wa Nairobi na ushago kwenu.

kama wewe ushago kwenu ni nyeri au murang'a,huna sababu ya kuikimbia Nairobi nyakati za uchaguzi.

watu wanaoimbia Nairobi ni wale ambao umbali wa kwao na Nairobi ni mkubwa.

jamaa zangu wa coast wanaoishi nairobi,wote wamerejea makwao mashinani kwenda kupiga kura.
 
Back
Top Bottom