Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hiyo mkuu, over 90% inakaa hivyo.

Kwa ss wana shida ya maji, hapo ndio wadada wabeba mandoo kutafuta maji, hayo ni maji ya kisima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 Wako hapa kupigazana na sisi, mipuuzi sana hii mijamaa
 
Alafu wanakataa hakuna maghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2096451
Na hiyo ndio style Yao ya Ujenzi Hadi kwenye CBD, na vyumba ni sana ukubwa wa IST kwa ndani.

Yaani Kenya ukiwa na kiwanja na 10M unajinga Ghorofa.
 
BRT ni system sio barabara tu manzee kama unavyodhania, BRT ni modern system of transportation, yani unapaswa kuheshimu BRT kuliko chochote..
Yamekufikaee, naona umekurupuka nkm hukuelewa km umeulizwa nini..
Pole sana
 
Arguing with tanzanians is fruitless......if you are contented with such standards then who are we to disturb you .
2209122_Screenshot_20191110-193507.jpg
2209114_tapatalk_1567199234954.jpg
 
Alafu wanakataa hakuna maghorofa ya udongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2096451
Hzo ni blocks mzee, sema watu wa upcountry bado wana upuuzi wa kutopiga palasta na rangi kw nje ambayo hyo ni hatari sana kufanya jiwe likinyeshewa linanyonya maji tofauti na palasta/rangi kukinyesha maji hutelezeshwa km sijakosea..

Hzo tamaduni zao mi usione huniboa sana....
 
Back
Top Bottom