komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hawa jamaa hujisahauits their own words coming to bite their ass kind of situation![]()
Hawa jamaa hujisahauits their own words coming to bite their ass kind of situation![]()
imagine kaacha pesa ngap hapa 😃😃
BRT ni system sio barabara tu manzee kama unavyodhania, BRT ni modern system of transportation, yani unapaswa kuheshimu BRT kuliko chochote..Je kua na BRT ndio kunafanya mji uwe bora![]()
Hivi ni viwango huwezi kuta Kunyaland!ni dar 👇👇👇
View attachment 2096105
ToLd you uwache unacho kivuta hujuskia
Tuliambiwa wanafungua 27/12/2021 kulikoni?ni dar 👇👇👇
View attachment 2096105
Mambo ya kuita vijiji eti city ni za kwenu, yaani kwetu miji iko na standards with class zaidi ya Mwanza na bado sio city.., haujielewi wewe unaropokwa tu 😂 😂 😂 😂 😂Unanifurahisha sana 😂😂😂, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status 😂😂 let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City 😂😂😂 uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment 😂😂😂
...yaani it is in a village shopping centre, which has standard shopping malls na hatuwezi kuitaja eti ni city kama nyie washamba, mji ukiwa na vigorofa vichache hivi eti ni city 😂 😂 😂 😂What is an interchange in comparison to a 6 lanes 3.2 km bridge?
Na inachapa kazi more efficiently, with class and status than your rickety BRT, hapo vipi 😂 😂 😂 😂 😂 😂The mtumbaz![]()
a city is just more than population. like the case with tanganyika.Unanifurahisha sana 😂😂😂, kwenu uko mji ukiwa na interchange qualifies City status 😂😂 let's take Kisumu for example kuna nini chaajabu Kisumu kale ka shipping center hadi muite City 😂😂😂 uku bongo ukiona mji unaitwa City means uko na population kubwa, uzalishaji mkubwa na kiwango flani cha utajiri, kwenu uko mji kuitwa City ni interchange na vi appointment 😂😂😂
na sq km pia yenye imejaa uswazi 😂 😂 😂 😂a city us just more than population. like the case with tanganyika.
huku kenya, tuna zingatia sana muundo msingi!. roads, piped water, electricity connections, refuse and waste water management, na facilities zingine ka int'l airports, refferal hospital, industries, universities, mega shopping malls, conventional centres, real estates and so on... tz ni population population tu!. ata kama umaskini na kuishi hoi inakidhiri