Nakuelewa... Ila kama umemkuta Kwayu basi wewe ulikuwa Senior kwangu, wakati naingia Kwayu ndo alipelekwa Ilboru kama sijakoseaMm nilivaa ya blue, nadhani ww ulikuwa mbele yng kwa darasa moja enzi zile za Kwayu cjui tunaelewana![]()
Where: G=Guest house.
Huyu mpumbavu kweli kweli, ss tukianza battle ya vihospitali vya namna hii c thread haitatosha hii









Hivi inakuaje utalii wa beaches haujashamiri huku Lindi wakati zinafanana kabisa na beaches za Zanzibar?lindi tanzania
View attachment 2090202
Speaking of twitter, your fellow Tanzanians out there reminding you of the reality 😂😂😂😂
Bora waenda huku Bara kumejaa watu wenye maneno meeengi Sana,fitina na usushi badala ya Kazi.hapa kuna picha imenijia, hao OIA watajiondoa bagamoyo port na kuelekeza mzigo Malindi Port ya Zanzibar, ndo mana hadi Rais wa Zanzibar kaenda huko..
Tutazoea tuu 😅😅 ila acha tungojee jnhp iishe wakose visingizio vya kukata umemeUmeme kwasasa Tanzani Tumerudi Nyuma Hatua Milioni kumi
ndani ya miezi hii 10 Tangu kifo cha JPM
Umeme Unakatika kwa siku hata mara20
Yaani ni hovyo hovyo sana
Waende Kwani Kuna Upuuzi mwingi kwenye Huo MradiBora waenda huku Bara kumejaa watu wenye maneno meeengi Sana,fitina na usushi badala ya Kazi.
Ngoja wakeweke huo upuuzi mwingi Zanzibar afu muanze maujinga yenu ya kusema Samia anapendelea kwao.Waende Kwani Kuna Upuuzi mwingi kwenye Huo Mradi
Nakuambia hata huo Mraidi ukiisha Mambo bado yatakuwa ni Yale yaleTutazoea tuu 😅😅 ila acha tungojee jnhp iishe wakose visingizio vya kukata umeme
Waende tuNgoja wakeweke huo upuuzi mwingi Zanzibar afu muanze maujinga yenu ya kusema Samia anapendelea kwao.