huyu jamaa kila siku analeta hoja dhaifu.. na bado tunamnyuka..
map ya muhimbili haijakamilika kuonyesha muhimbil yote.. kushoto ya muhimbili hakuna majengo yoyote zaid ya mto.. ambapo jengo la mwisho kwenye huo upande ni la New MOI building.. kwenye picha yako halipo..
jengo lenyewe hili hapa
View attachment 2090472
boundary ya hospitali yote ya Muhimbili ni hii hapa..
haya rudia tena screenshoot yako kwa scale ileile tuone kama unapata majengo/boundary yote ya muhimbili
(yani hata kwa scale yangu kwenye hii screenshoot yangu, muhimbili imejaza screen yote

)
View attachment 2090477