The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527



Na Campus ya Mloganzila?huyu jamaa kila siku analeta hoja dhaifu.. na bado tunamnyuka..
map ya muhimbili haijakamilika kuonyesha muhimbil yote.. kushoto ya muhimbili hakuna majengo yoyote zaid ya mto.. ambapo jengo la mwisho kwenye huo upande ni la New MOI building.. kwenye picha yako halipo..
jengo lenyewe hili hapa
View attachment 2090472
boundary ya hospitali yote ya Muhimbili ni hii hapa..
haya rudia tena screenshoot yako kwa scale ileile tuone kama unapata majengo/boundary yote ya muhimbili
(yani hata kwa scale yangu kwenye hii screenshoot yangu, muhimbili imejaza screen yote)
View attachment 2090477










Hii ipambanishwe na KCMC Moshi!Area around KNH is a medical mini cityView attachment 2090553View attachment 2090554View attachment 2090555View attachment 2090556
hapa kuna picha imenijia, hao OIA watajiondoa bagamoyo port na kuelekeza mzigo Malindi Port ya Zanzibar, ndo mana hadi Rais wa Zanzibar kaenda huko..
Wakunya tafuteni plan B kwani plan A mmeshindwa ktk Project ya LapssetNa wewe umesoma ukaelewa project vizuri?.., na pia umesoma nilicho andika na kuelewa ama unakurupuka tu? maana ya ku focus Kenya kwa wingi ama kwa upana ni nini?.., another kilaza, shirikisha ubongo kabla ya ku type 😂 😂 😂 😂 😂















Speaking of twitter, your fellow Tanzanians out there reminding you of the reality 😂😂😂😂Kalilie twitter![]()










Usilie peke yako utajinyonga nenda twitter mkalie na wakunya wenzakoSpeaking of twitter, your fellow Tanzanians out there reminding you of the reality





Africa hapa hakuna nchi yoyote inatuambia kitu, sio SA sio Egypt
The embarrassment 😂😂😂😂😂Usilie peke yako utajinyonga nenda twitter mkalie na wakunya wenzako![]()
Hii hapaHii ipambanishwe na KCMC Moshi!
h
Hospitali za floor moja sio!Hiyo hata haifiki Kikuyu hospitalView attachment 2090672View attachment 2090674