Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,915
- 103,782
Tunawaongoza kwa almost kila kitu, mazuri karibia yote na mabaya pia.., ni ushirikina, uchawi, umbeya(domo domo) na ufukara wa kutupwa ndio mnatupiku 😂 😂 😂 😂 , kwa mambo ya giza nyie hamna mpinzani Africa, maybe Nigeria mnaeza keti nao meza moja 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwani ulichoambiwa ni uongo kijana.? 👇😂😂😂 Hapa ndio mnatuongozea EAView attachment 2089638
leta ushahidi kua JNHPP tumekopa 😂😂 mushaanza kuchanganyikiwa na kwani hujui phase one three and five ni pesa za ndani kwenye SGR pesa tumekopa ni ya phase two na tena si yote 30% imetoka ndani au hilo pia hujui 😂😂 kila siku muelekezwe jambo moja mpaka lini sasaSasa hio $500 million unayosema mnahitaji tu pesa zenu za ndani mtaitoa wapi wakati mnakopa kukamilisha SGR na JNHPP? Hehe huwa mnachekesha sana. Hamna pesa za ndani nyie, mama keshasema lazima mkope kukamilisha miradi mlizoanzisha, sasa mnataka kuanzisha tena miradi mingine ya kujenga stadia za Afcon. Pesa za ndani hamna lazima mkope tu. Halafu Afcon yenyewe licha ya nyie kuwa host country na kupewa automatic qualification bado mtapigwa na kuondolewa katika raundi ya kwanza licha ya kupoteza pesa kujenga stadia zote hizo.
hvi hawa watu nani anawaroga 🤣🤣🤣
unaweza kukuta wameweka solar ya nyumba wakaita electric bus!hvi hawa watu nani anawaroga 🤣🤣🤣
Representational ImageHao wanashangaa kuona GDP kubwa inashindwa na GDP ndogo, hawaelewi wamechanganyikiwaleta ushahidi kua JNHPP tumekopamushaanza kuchanganyikiwa na kwani hujui phase one three and five ni pesa za ndani kwenye SGR pesa tumekopa ni ya phase two na tena si yote 30% imetoka ndani au hilo pia hujui
kila siku muelekezwe jambo moja mpaka lini sasa
unaongea emotion zako,Mimi hakuna kitu mtz anaweza kuniambia,,,kama vile baba levo alisema itawachukua tz miaka kama 25 kutufikia kenya ....Yaani in todays world 2022 nchi nzima inaogopa
1. east african community
2. inaogopa masks
3. inaogopa vaccine
4. wanaogopa mikopo
5. wanaogopa kizungu
6. wanaogopa foreighners kufanya kazi kwao
Sasa watu kama hawa watasaidiwa aje...yaani mtanzania hujiona mwerevu sana mbele ya macho yake...kwa kuchukua tahadhari amabazo hazina maana yoyote, ni uoga wa kipuzi mno... what the learned call { the fear of the unknown}... na wakiendelea na mtindo huu hata uganda itawapita kwa uchumi na mambo mengine.
Tanzanians love status quo. Hawataki kufikiria..hawataki kujaribu..hawataki mashirikiano na nchi jirani..Yaani kila kitu kina hatari kwao.
Nchi yao iko na great potential but ni masikini ajabu..wana kila sababu ya kuwa east and central africa giants kama kenya ..but the only giant they have ni nchi kubwa na kuzaana kwa wingi..mengine hamna.
Nawahurumia sana hawa jamaa..kwanza nikiona wakisema ooh barakoa zina sumu hahaha mara chanjo zitatumaliza...hivi nyinyi wanatanzania where is your wisdom dear Tanzanians.
Tanzania inaongoza katikaTunawaongoza kwa almost kila kitu, mazuri karibia yote na mabaya pia.., ni ushirikina, uchawi, umbeya(domo domo) na ufukara wa kutupwa ndio mnatupiku![]()
![]()
![]()
, kwa mambo ya giza nyie hamna mpinzani Africa, maybe Nigeria mnaeza keti nao meza moja
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()




Huoni mi hta sisumbuani nao..poleni lakini in conclusion tu:-
nyinyi waTz mulinivamia sana jana,... watu 100 kwa mtu1.! muliniaibisha sana mbele ya wakenya wenzangu.. sasa kina nairobiwalker, don yf, kanairo, teargas, simba254, komora96, kenpaulite, iamlee, mashashola, mutaitina, mwathadan, nicxie, Thebest007, tony254,.. unafikiri wataniona aje.? kama mume bwege ama mume hooi. hio ndio raha yenu sana.
but in the process of your argument, i learnt somethng thts very common with almost all of you tanzanians, that one should not take your critics seriously, its like your nature to inflict pain into ones life, you like picking on every minor, petty, negligible matters and magnify it as if a major thing!. one should not take your words personal, less you don't want to see the next decade due to pressure. nxt tyme i come into such a similar situation like yesterday, i prms not to use much energy to defend myself. i ll just ignore, as kenpaulite advised me. afterall u don't even know me in the first place. ama ata tutakutana wapi?. you don't even add an inch into my life afterall. so why stress myself
Hizi ndio zitarun kwenye Kenyan BRT kama mlivyoambiwa. E-Bus yenyewe ndio hizo, Buy Kenyan Build Kenya. (IMO)
Kumbe we jamaa la kufanya usafiHehehehee sina kazi au sio, hapa natoka job naingia ndani ya staff basi inipeleke hom full kiyoyoziView attachment 2089836View attachment 2089837View attachment 2089838View attachment 2089841View attachment 2089842View attachment 2089843


Dr. Robert Malone anayemiliki baadhi ya patents za mRNA technology siyo mtanzania.Mimi hakuna kitu mtz anaweza kuniambia,,,kama vile baba levo alisema itawachukua tz miaka kama 25 kutufikia kenya ....Yaani in todays world 2022 nchi nzima inaogopa
1. east african community
2. inaogopa masks
3. inaogopa vaccine
4. wanaogopa mikopo
5. wanaogopa kizungu
6. wanaogopa foreighners kufanya kazi kwao
Sasa watu kama hawa watasaidiwa aje...yaani mtanzania hujiona mwerevu sana mbele ya macho yake...kwa kuchukua tahadhari amabazo hazina maana yoyote, ni uoga wa kipuzi mno... what the learned call { the fear of the unknown}... na wakiendelea na mtindo huu hata uganda itawapita kwa uchumi na mambo mengine.
Tanzanians love status quo. Hawataki kufikiria..hawataki kujaribu..hawataki mashirikiano na nchi jirani..Yaani kila kitu kina hatari kwao.
Nchi yao iko na great potential but ni masikini ajabu..wana kila sababu ya kuwa east and central africa giants kama kenya ..but the only giant they have ni nchi kubwa na kuzaana kwa wingi..mengine hamna.
Nawahurumia sana hawa jamaa..kwanza nikiona wakisema ooh barakoa zina sumu hahaha mara chanjo zitatumaliza...hivi nyinyi wanatanzania where is your wisdom dear Tanzanians.
Akili kubwa hiyoHuyu mzee nilichokuwa nampendea ni ujasiri wake. Hata mimi naomba Mungu anipe ujasiri kama huu. Yaani Wageni wanakuja Ikulu ya Tanzania kumtembelea mzee kisha mzee anawapa juice ile ya rangi ya kuchanganywa na maji na peremende. Hahaha
View attachment 2089712
..alikuwa anawapa vitu adimu kwao