Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1642787668424.png
 
Ukweli usemwe Umeme kwasasa Tanzani Tumerudi Nyuma Hatua Milioni kumi
ndani ya miezi hii 10 Tangu kifo cha JPM
Umeme Unakatika kwa siku hata mara20
Yaani ni hovyo hovyo sana Hali nimbaya mno
kunamuda unawaza Hii nchi inawatu wenye Kujari Maisha ya Wengine Hivi Nchi hii Miaka 60+
suala la Umeme Bado linakuwa Hisani ya Kiongozi au Viongozi fulani kuamua

ni kweli kbsa ila mhh ngoja ninyamaze.. if i speak, i will be in trouble
nangojea tu 2025 nione mambo yalivyo
 
Ukweli usemwe Umeme kwasasa Tanzani Tumerudi Nyuma Hatua Milioni kumi
ndani ya miezi hii 10 Tangu kifo cha JPM
Umeme Unakatika kwa siku hata mara20
Yaani ni hovyo hovyo sana Hali nimbaya mno
kunamuda unawaza Hii nchi inawatu wenye Kujari Maisha ya Wengine Hivi Nchi hii Miaka 60+
suala la Umeme Bado linakuwa Hisani ya Kiongozi au Viongozi fulani kuamua
20211202_140744.jpg
 
Back
Top Bottom