Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona iwe ni watanzania peke yake wana msikiliza....wakati nchi zingine wanaendelea na chanjo..mbona msimsikilize anayeunga chanjo mkono maana wapo wengi pia..nyie mko kwa hali ya kuchukua tahadhari foolishly kila mara
Mjinga ni yule anayeacha kumsikiliza mtaalam aliyeshiriki katika ugunduzi wa mRNA technology na kusikiliza wanasiasa au waandishi wa habari. Wengi wao hata hawajui pipet au beaker inafananaje.
 
kionjo tu za hospitali zetu coaches kwanza...

safari bado. eti jiwe la moto alidai eti tanganyika iko kipao mbele shinda kenya kwenye nyanja ya mahospitali.!? jambo ambalo niliipuuza kabisa!

View attachment 2090939

View attachment 2090940

View attachment 2090941
View attachment 2090945
View attachment 2090942
nakuru level 6 hospital👇🏽
View attachment 2090943

View attachment 2090944
mtwara hospital


AC7F7E99-D938-4014-B39D-33DEACCEDB6A.jpeg
 


ni kweli kbsa ila mhh ngoja ninyamaze.. if i speak, i will be in trouble
nangojea tu 2025 nione mambo yalivyo
Kwamba wamerudia mchezo wa kumwaga maji, nadhani hata JNHPP ikiisha hakutakuwa na unafuu wowote cz watendaji ni simple tu wanamwaga maji kazi iendelee, hv mtu makini unawezaje kumweka mwizi sehemu nyeti vile au kuna siri hapa? Mana mambo yapo wazi wazi kabisa.
 
Back
Top Bottom