dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,683
What do you mean hamna pesa za ndani.?hatukusanyi kodi au ? unajua kwamba mkopo una support budget kwa % chache tu...Mama alichosema ni kwamba ili miradi iende fasta lazima tukope ili tupate hela ya chap kumaliza haraka kuliko kusubiria revenues ...za ndani..Sasa hio $500 million unayosema mnahitaji tu pesa zenu za ndani mtaitoa wapi wakati mnakopa kukamilisha SGR na JNHPP? Hehe huwa mnachekesha sana. Hamna pesa za ndani nyie, mama keshasema lazima mkope kukamilisha miradi mlizoanzisha, sasa mnataka kuanzisha tena miradi mingine ya kujenga stadia za Afcon. Pesa za ndani hamna lazima mkope tu. Halafu Afcon yenyewe licha ya nyie kuwa host country na kupewa automatic qualification bado mtapigwa na kuondolewa katika raundi ya kwanza licha ya kupoteza pesa kujenga stadia zote hizo.
Ss makasiriko yote haya ya nn? C tumekubaliana kila mtu a deal na nchi yake!! Kila mbuzi akule kwenye urefu wa kamba yake mzeeMimi hakuna kitu mtz anaweza kuniambia,,,kama vile baba levo alisema itawachukua tz miaka kama 25 kutufikia kenya ....Yaani in todays world 2022 nchi nzima inaogopa
1. east african community
2. inaogopa masks
3. inaogopa vaccine
4. wanaogopa mikopo
5. wanaogopa kizungu
6. wanaogopa foreighners kufanya kazi kwao
Sasa watu kama hawa watasaidiwa aje...yaani mtanzania hujiona mwerevu sana mbele ya macho yake...kwa kuchukua tahadhari amabazo hazina maana yoyote, ni uoga wa kipuzi mno... what the learned call { the fear of the unknown}... na wakiendelea na mtindo huu hata uganda itawapita kwa uchumi na mambo mengine.
Tanzanians love status quo. Hawataki kufikiria..hawataki kujaribu..hawataki mashirikiano na nchi jirani..Yaani kila kitu kina hatari kwao.
Nchi yao iko na great potential but ni masikini ajabu..wana kila sababu ya kuwa east and central africa giants kama kenya ..but the only giant they have ni nchi kubwa na kuzaana kwa wingi..mengine hamna.
Nawahurumia sana hawa jamaa..kwanza nikiona wakisema ooh barakoa zina sumu hahaha mara chanjo zitatumaliza...hivi nyinyi wanatanzania where is your wisdom dear Tanzanians.






Basi nzima tuko watano lkn lazima iturudishe hom na kutufuata alafu kuna mbuzi inasema sina kazi kisa nipo active JF kwa muda mwingi, sasa hapo jibu ni kwamba nabalance mambo yng na pia kazi yangu inaruhusu kuwa free at some degreeUmeuaa.![]()








other kasarani annexes, mkapa stadium doesn't have....sijui mbona gameover anaionea chini hii stadium ya kasarani. to my eyes kasarani is just perfect. its at par with mkapa stadium.
mkapa capacity: 60,000View attachment 2090351View attachment 2090350
kasarani capacity: 60,000View attachment 2090352View attachment 2090353
Eti eeehhhTunawaongoza kwa almost kila kitu, mazuri karibia yote na mabaya pia.., ni ushirikina, uchawi, umbeya(domo domo) na ufukara wa kutupwa ndio mnatupiku![]()
![]()
![]()
, kwa mambo ya giza nyie hamna mpinzani Africa, maybe Nigeria mnaeza keti nao meza moja
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()










Huu mji umepangiliwa vzr sn mpk nyumba za udongo zimepangwa aisee, nilienda nikashangaa sn.lindi tanzania
View attachment 2090202
Mfanya usafi gani anarudishwa na staff busKumbe we jamaa la kufanya usafi![]()










Wazembe wanang'ag'ania geographical position kila upande wakati haipo,hii imekula kwaoYani ni ujinga waliofanya yani hawa jamaa kitu kitakacho wasevu labda wajenge SGR mpaka mpakani na ithiopia ila bandari tuu ya lamu ni kazi bure kwa sababu we fikiria gharama za kusafirisha kwa reli haiwezi kuwa sawa na kusafirisha kwa malori na kinginee wachina wanampango wakulink SGR ya ithiopia na bandari ya Djibouti kwaiyo yajayoo yanafurahisha😂😂
Yah ni kweli hazifanani, moja ime cover kasehemu kadogo nyingine ime cover large area.Halafu utasikia mtu akilinganisha Kenyatta hospital na muhimbiliView attachment 2090344View attachment 2090345
Hahahaha, jinga kabisa wewe, weka data na chanzo cha hiyo data, wacha kuleta vijarida visivyojulikana source yake, data lazima ziwe sio zaidi ya miaka 2 iliyopita.Another clueless blind patriot, akili za st. Kayumba drop out![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..,posting your opinion or what u think based on what you "see" isn't factual idiot na kutumua kauli ya wana siasa, ujinga wa kiaina
![]()
![]()
![]()
![]()
Export trade income mko way below nyambaff.., weka pato ya total export trade business ujionee., eti less corruption., you don't know that, CCM govt controls everything how can a poor soul like u know anything., idiocy on steroids., that's relative., health system it is u yapping, nataka data![]()
![]()
![]()
.., ama utawekaclip ya a lady visiting and giving her opinion? weka expert analysis ama kauli ya medics or World Health Organization data to support your point, sio hadithi za vijiweni, wewe ni boya kumbe
![]()
![]()
![]()
Stadiums poorer countries like Cameroon have better.., no economic value to it.., just a stadium, Kenya has sports complex
![]()
![]()
construction sector lol!., doing huge projects isn't a sign your construction sector is better than.., Tanzania ni Dar tu![]()
![]()
.,
BRT is in Dar pekee and covers less than 1% of Dar's 1600 sq km nyambaff.., ujinga niondolee kilaza., Electricity connectivity yaani unaandika kwa nguvu mingi hivyo na mko hovyo.., hauna data?![]()
![]()
![]()
.., yaani maneno mengi umeandika ni matamanio yako na kuonyesha uzalendo kwa Tanzania, ushabiki tu with zero facts..,
![]()
![]()
![]()
yani uko hovyo, next time shirikisha ubongo kabla ya ku post., mbona wengi mko uninformed hivi?
Wacha nikupe kionjo from World Bank and other sources.., pia serikali yenu ya propaganda iko na data![]()
..,
Electricity connectivity..,
Tanzania.., (by 2021accordint to your bureau of statistics connectivity is below 40%, ama unataka evidence?)![]()
View attachment 2090288
Kenya
View attachment 2090289
Health
Soma vizuri...,![]()
![]()
View attachment 2090297
soma hapa![]()
![]()
last line..., ndio maana akina Lissu na Magufuli wanakimbizwa huku kwetu
![]()
![]()
![]()
View attachment 2090299







Sasa swali langu kama hii project ina focus Kenya kwa wingi wakati jina la project ni Lapsset huoni ni lugha ya mshindwaji ,huwa mnatangulia kichwa kichwa alafu mnapigwa hasaLitahira likubwa hili halijiangalii 😂 😂 😂 😂 😂 Mwenyewe haujafanya utafiti ujue the main objectives za lapset project kazi ni kukurupuka tu na fikra zako boya.., get the gist of the project.., fanya utafiti, google ni free, ni data unahitaji, soma vision 2030 ya Kenya, ingia website ya Lapset, then come argue pinpointing issues you are seeing point after point as stipulated in the project plan and its objectives, and you critique kama mtu mwenye alienda shule na hakuaribu pesa ya mzazi, toa fikra mbadala yenye wewe unaona ingefuatwa tuone hekima yako ama ni ujinga unayo, nyambaff, mbona uko hovyo siku zote? 😂 😂 😂 😂 😂 .., such factors ziko considered..., main objective ni kufungua Northern and North eastern parts of Kenya including western.., and give south sudan access to the port and connect other African countries for business, key thing is enhancing logistics yenye hizo sehemu zimekosa kwa miaka mingi.., kilaza, mtanyooka tu.., niko hapa kuwanyoosha pole pole.., wait for the results, kua mpole. 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Read objectives for Kenya..,
View attachment 2090103
View attachment 2090106
Wacha nikupe just an excerpt of the whole project.., from it critique like a scholar, hadithi za vijiweni na fikra zako duni za kujaribu kuikweza Tz weka pembeni.. (soma key aim: enhance trade and logistics..., providing an alternative and strategic corridor)
View attachment 2090101
Sasa wewe critique ukitumia akili ya mchumi(economist).., kosoa na utaje mbinu mbadala..., utoto wacha, project ina focus Kenya kwa wingi., wacha nifurahi 😂 😂 😂 😂
Wireless steering🤣🤣Yaani hapo ijapewa majina ya ubatizo,kama ultra engine, self driven wireless steering wheel, etc🤣🤣🤣🤣🤣🤣
The capacity could be the same, but modernity and technologically very different, like mbingu na ardhiother kasarani annexes, mkapa stadium doesn't have....
ogapa kenya!
aquatic stadiumView attachment 2090370View attachment 2090378View attachment 2090382View attachment 2090372
indoor gymnasiumView attachment 2090371View attachment 2090393View attachment 2090373




what technology do you mean... kasarani is were records are broken!The capacity could be the same, but modernity and technologically very different, like mbingu na ardhi![]()
Taja mmoja ukiacha Lissu ambaye alishindwa hata kutibiwa hapo kwenu ikabidi aende Belgiumall tanzanian politicians come to kenya for specialized treatment......
Burden of proof ni kwako wewe ulie ropokwa humu bila supportig evidence, ama kwa yale nimeweka leta na yako with reputable source upinge, domo domo ndio mnazo, jibu zero, mtanyooka tu 😂 😂 😂 😂 😂 , support your idiocy nione..., nyambaff 😂 😂 😂 😂Hahahaha, jinga kabisa wewe, weka data na chanzo cha hiyo data, wacha kuleta vijarida visivyojulikana source yake, data lazima ziwe sio zaidi ya miaka 2 iliyopita.
Tuanze na 1)Amani umoja na mshikamano
![]()
Are you not familiar with new technology associated with modern stadium?what technology do you mean... kasarani is were records are broken!View attachment 2090402
whereas mkapa ni simba na yanga tu!View attachment 2090401




