Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Na wewe umesoma ukaelewa project vizuri?.., na pia umesoma nilicho andika na kuelewa ama unakurupuka tu? maana ya ku focus Kenya kwa wingi ama kwa upana ni nini?.., another kilaza, shirikisha ubongo kabla ya ku type 😂 😂 😂 😂 😂Sasa swali langu kama hii project ina focus Kenya kwa wingi wakati jina la project ni Lapsset huoni ni lugha ya mshindwaji ,huwa mnatangulia kichwa kichwa alafu mnapigwa hasa
