Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dr. Robert Malone anayemiliki baadhi ya patents za mRNA technology siyo mtanzania

Shida sio yeye, shida ni wanaofuata anayoyasema blindly kwa sababu ya uoga wenu...Hata mimi leo nikiamka nianze kusema chanjo ni mbaya watanzania watanifuata tu....badala ya kukaa chini na muanze kufanya uchunguzi wa kina kwa nia ya ku embrace yaani kwa nia ya kukubali chanjo,masks etc as opposed kutafuta kila sababu ya kupinga na kuepuka.
 
hawawezi kuamini
Emu amini wewe hapa kwanza
images.jpeg-7.jpg
 
Shida sio yeye, shida ni wanaofuata anayoyasema blindly kwa sababu ya uoga wenu...
Unajichanganya hapo, unaposema shida ni kumsikiliza Dr. Malone. Utaachaje kumsililiza mbobezi wa mambo ya chanjo.
Hata mimi leo nikiamka nianze kusema chanjo ni mbaya watanzania watanifuata tu....badala ya kukaa chini na muanze kufanya uchunguzi wa kina kwa nia ya ku embrace yaani kwa nia ya kukubali chanjo,masks etc as opposed kutafuta kila sababu ya kupinga na kuepuka.
Watu wakusikilize wewe kwa misingi ipi, Kwani wewe unamiliki hata patent moja ya mRNA vaccines.
 
you know it only exists in your thick head ........kitu mmeshindia kenya ni size ya nchi na population.......GDP....HDI?......Of course not
Tanzania inaongoza katika
1)Amani, umoja na mshikamano
2)Uzalishaji wa chakula
3)Kilimo cha umwagiliaji
4)Hospital Bora/Best health system
5)Less Corruption
6)Export trade/business
7)Fishing and live stock
8) Construction sector/Thamani ya miradi Tanzania no zaidi ya mara 3 ya Kenya
9)Better public transportation (BRT)
10)Good stadium
11)Production of Cement
12)Electricity connectivity
13) Access to clean and safe water
14)Free cancer treatment
15)Blue Economy

Je, Kenya inaizidi Tanzania katika nini?
 
Jamaa washaiga design ya likoni floating bridge tayari
hilo si pedestrian bridge with boyancy! Magari wawili yanapita, pia angalia pembeni kulia na kushoto utaona wapi waenda kwa miguu wanapita na kuna madaraja kama hayo yapo siku nyingi! Standardwise Kenya mko chini sana kwetu!

VS
 
Tanzania inaongoza katika
1)Amani, umoja na mshikamano
2)Uzalishaji wa chakula
3)Kilimo cha umwagiliaji
4)Hospital Bora/Best health system
5)Less Corruption
6)Export trade/business
7)Fishing and live stock
8) Construction sector/Thamani ya miradi Tanzania no zaidi ya mara 3 ya Kenya
9)Better public transportation (BRT)
10)Good stadium
11)Production of Cement
12)Electricity connectivity
13) Access to clean and safe water
14)Free cancer treatment
15)Blue Economy

Je, Kenya inaizidi Tanzania katika nini?
Another clueless blind patriot, akili za st. Kayumba drop out 😂 😂 😂 😂 😂 😂 ..,posting your opinion or what u think based on what you "see" isn't factual idiot na kutumua kauli ya wana siasa, ujinga wa kiaina 😂 😂 😂 😂 😂
Export trade income mko way below nyambaff.., weka pato ya total export trade business ujionee., eti less corruption., you don't know that, CCM govt controls everything how can a poor soul like u know anything., idiocy on steroids., that's relative., health system it is u yapping, nataka data 😂 😂 😂 😂 .., ama utawekaclip ya a lady visiting and giving her opinion? weka expert analysis ama kauli ya medics or World Health Organization data to support your point, sio hadithi za vijiweni, wewe ni boya kumbe 😂 😂 😂 😂 Stadiums poorer countries like Cameroon have better.., no economic value to it.., just a stadium, Kenya has sports complex 😂 😂 😂
construction sector lol!., doing huge projects isn't a sign your construction sector is better than.., Tanzania ni Dar tu 😂 😂 😂 .,
BRT is in Dar pekee and covers less than 1% of Dar's 1600 sq km nyambaff.., ujinga niondolee kilaza., Electricity connectivity yaani unaandika kwa nguvu mingi hivyo na mko hovyo.., hauna data? 😂 😂 😂 😂 .., yaani maneno mengi umeandika ni matamanio yako na kuonyesha uzalendo kwa Tanzania, ushabiki tu with zero facts.., 😂 😂 😂 😂 yani uko hovyo, next time shirikisha ubongo kabla ya ku post., mbona wengi mko uninformed hivi?

Wacha nikupe kionjo from World Bank and other sources.., pia serikali yenu ya propaganda iko na data 😂 😂 ..,
Electricity connectivity..,
Tanzania.., (by 2021accordint to your bureau of statistics connectivity is below 40%, ama unataka evidence?) 😂 😂
1642753929399.png


Kenya
1642753970980.png


Health
Soma vizuri..., 👇 👇 👇
1642754364919.png

soma hapa 👆 👆 👆 last line..., ndio maana akina Lissu na Magufuli wanakimbizwa huku kwetu 😂 😂 😂
1642754420480.png
 
Sasa hio $500 million unayosema mnahitaji tu pesa zenu za ndani mtaitoa wapi wakati mnakopa kukamilisha SGR na JNHPP? Hehe huwa mnachekesha sana. Hamna pesa za ndani nyie, mama keshasema lazima mkope kukamilisha miradi mlizoanzisha, sasa mnataka kuanzisha tena miradi mingine ya kujenga stadia za Afcon. Pesa za ndani hamna lazima mkope tu. Halafu Afcon yenyewe licha ya nyie kuwa host country na kupewa automatic qualification bado mtapigwa na kuondolewa katika raundi ya kwanza licha ya kupoteza pesa kujenga stadia zote hizo.
Naona unaongea kwa uchungu mkubwa sana. Football means business in Tz hizo investment zote za viwanja will support sports in Tz and add up to the overall GDP. My suggestions vijengwe Dodoma, Mwanza na Dar Kigamboni.
 
Naona unaongea kwa uchungu mkubwa sana. Football means business in Tz hizo investment zote za viwanja will support sports in Tz and add up to the overall GDP. My suggestions vijengwe Dodoma, Mwanza na Dar Kigamboni.
hapa east africa mambo ya stadia tunyamazie tu.......
 
Unajichanganya hapo, unaposema shida ni kumsikiliza Dr. Malone. Utaachaje kumsililiza mbobezi wa mambo ya chanjo.

Watu wakusikilize wewe kwa misingi ipi, Kwani wewe unamiliki hata patent moja ya mRNA vaccines.
Mbona iwe ni watanzania peke yake wana msikiliza....wakati nchi zingine wanaendelea na chanjo..mbona msimsikilize anayeunga chanjo mkono maana wapo wengi pia..nyie mko kwa hali ya kuchukua tahadhari foolishly kila mara
 
Back
Top Bottom