The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ss hapo ili tuamini kwamba ni zako weka na jina kabisa, hapo hata kama itakuwa umetumwa lkn kdg italeta maana.
Ss hapo ili tuamini kwamba ni zako weka na jina kabisa, hapo hata kama itakuwa umetumwa lkn kdg italeta maana.
C wanapenda sifa za kijinga, amini nakwambia mkuu wakunya wangekuwa na maisha kama cc watanzania basi humu ndani pangewaka humu.Ila bro The best 007 umejua kuniumbulia hizi mbwa leo, hawa wangese ni waongo sanana wanatudanganya vingi mno, huwa najiuliza ni kwanini wanafanya hivi .? Ili iweje .?
Duh kweli, mana hawana maisha mazuri ila wanaongopa kinoma, wangekua na maisha mazuri hawa inaonekana wangekua wanapiga picha makwao na kutupia humu kila leoC wanapenda sifa za kijinga, amini nakwambia mkuu wakunya wangekuwa na maisha kama cc watanzania basi humu ndani pangewaka humu.
Amini ama usiamini si shida yangu tho, weww ukiipata online uniambieSs hapo ili tuamini kwamba ni zako weka na jina kabisa, hapo hata kama itakuwa umetumwa lkn kdg italeta maana.
Hehehehee nimekudaka mzee, Teargas njoo mchukue mdogo wakoView attachment 2088055View attachment 2088056
2018 sisi tuko na 3.6b nyinyi 2020/2021 ndio unaleta hio data 🤣🤣🤣🤣Hii data ya statista pia nilipost hakuona? 😂 😂 😂 😂 😂
Kwani kwa hiyo statista.com haukuona Kenya., kwanza tumepimwa kwa 1000 metric tons.., 1 metric ton is 1000 liters so Tanzania in 2020 ni 3.6 Billion liters. Kenya ni 4.67 Billion liters., zaidi ya billioni moja! 😂 😂 😂
View attachment 2088212
weka jina sasa kwann unalia 😂😂😂😂Amini ama usiamini si shida yangu tho, weww ukiipata online uniambie
Wakenya wanapenda sana show off, bahati mby Mungu aliwanyimaweka jina sasa kwann unalia![]()














hebu piga gharama hzo 🤣🤣👇👇Amini ama usiamini si shida yangu tho, weww ukiipata online uniambie
Hio ni shida yako si yangu, ukiipata online unitagweka jina sasa kwann unalia![]()


weka jina hapo tuone kweli ww unafungua zipu ya suruali 🤣🤣🤣Hio ni shida yako si yangu, ukiipata online unitag![]()
Inakaa KSh 1m?
Jiwe alikuwa MWAMBA wa miamba. Mjinga hawezi kuwafanya mfuke moshi kutoka matobo yote mwilini. Angekuwa mjinga mngempotezea.Jiwe alikua mjinga, achana na wakenya. We are expressing what we saw.
Mbishi alertweka jina hapo tuone kweli ww unafungua zipu ya suruali![]()

@TheBest007. I was realy meaning the above 👆🏽statement.. ona, hii Cooperative bank ndio account ya rupurupu tu, alafu ya DTB bank account ndio ya salary. ndio nilikua namaanisha, DTB sikanyagi uko huu mwaka kwa imani ya bwana. wacha mshahara irundike uko hadi nipigiwe simu na bank manager. umesikia dogo. watch video, weka salio ya kutosha, sawazikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbio
na hautasubutu mpaka dunia itasmama😅😅Mbishi alert![]()