NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,393
- 17,974
Recently introduced though, Kenya tumekuwa nazo tangu enzi zile.
Recently introduced though, Kenya tumekuwa nazo tangu enzi zile.
Mchongo huo hamna kitu haponchi haina amani nchi inajaa sijui inashida gani haya wakate sasa
Mazezeta wanajifurahishakinondoni iko better zaidi
sie tuna gesi inazalisha karibu nusu ya umeme wetu!Fuel consumption between Kenya na Tanzania yenye wanajidai wako na magari mengi mno..., 😂 😂 😂
View attachment 2088010
View attachment 2088014
Kenya
View attachment 2088012
View attachment 2088015
View attachment 2087936
For Kenya posted data ni ya diesel na gasoline while in Tz wameweka total ya all petroleum products consumption na bado!!!
View attachment 2087938
so kutokea 1980 to 2014 mlikua na gesi inazalisha umeme?..., na upande wa magari? bado ni gesi?.., ilianza kutumika lini?..,sie tuna gesi inazalisha karibu nusu ya umeme wetu!
Ninyi hamjui kama umeme wenu zaidi ya 35% ni wa majenereta? Wakati Tanzania ni wa natural gas na hydro?Fuel consumption between Kenya na Tanzania yenye wanajidai wako na magari mengi mno..., 😂 😂 😂
View attachment 2088010
View attachment 2088014
Kenya
View attachment 2088012
View attachment 2088015
View attachment 2087936
For Kenya posted data ni ya diesel na gasoline while in Tz wameweka total ya all petroleum products consumption na bado!!!
View attachment 2087938
Safi sana, ila uwe unahifadhi pesa bank na co kwenye Kibubu kama unavyofanya.huu ni mwaka wa rupurupu tupu katika jina la yesu. hakuna kuguza mshahara mwaka huu. amen! View attachment 2087697
data ni ya 1980 to 2014.., so what's your point?..,Ninyi hamjui kama umeme wenu zaidi ya 35% ni wa majenereta? Wakati Tanzania ni wa natural gas na hydro?
Na pia wewe ufahamu Kenya kuna geothermal kwa kiwango kikubwa, na hiyo hydro pia..., generators utumika wakati viwango vya maji kwa hydro dams vinashuka...,Ninyi hamjui kama umeme wenu zaidi ya 35% ni wa majenereta? Wakati Tanzania ni wa natural gas na hydro?
Kenyan banks in Tanzania are like saccoss, don't have customerskenya still remain east african economic powerhouse. kenya's equity bank and kcb bank are very active in tanzania. infact they are the leading banks in tanzania..! other countries with its branches incd: uganda, drc, ssudan, rwanda, burundi, ethiopia.
also, nakumatt and uchumi supermarkets were the leading retail stores in tanzania, together with all other eastern africa countries. i've never heard of any tanzanian thing! in this country.. pengine collaboration na wasafi records pekee
Hehehehee nimekudaka mzee, Teargas njoo mchukue mdogo wakohuu ni mwaka wa rupurupu tupu katika jina la yesu. hakuna kuguza mshahara mwaka huu. amen! View attachment 2087697






Haibadilishi ukweli, sababu topic sio mafuta bali gari, mafuta sio kwa magari tu, kwanza Tanzania ndio yenye storege kubwa ya mafuta ukanda huu, nina uhakika hayo mafuta mlioesabu mpaka ya intransit yamejumuishwadata ni ya 1980 to 2014.., so what's your point?..,
Kwenye maneno 100 ya mkenya....... uyu hapakuna bwana mapesa mwenzako anakuchora tu kwa camera atakuja kukufunika









Hii hapa nimekudaka mzeehehe. hebu come again. hapo kidogo sijakupata vizuri







Mikenya humu jukwaani ni mifukara sana ila inapenda kujitutumua matokeo yake yanaangukia pua kama hivi 😅😅😅😅Hehehehee nimekudaka mzee, Teargas njoo mchukue mdogo wakoView attachment 2088055View attachment 2088056
zikusanye kwanza zote ukiwa field, kuzipeleka bank sio issue, tutaenda tu baadae, hakuna mbioSafi sana, ila uwe unahifadhi pesa bank na co kwenye Kibubu kama unavyofanya.