The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Anakwambia hatoguza mshahara










Anakwambia hatoguza mshahara










dyfre huwa unanichekesha sn kiswahili chakohii hoja isiwe bonge la party humu.. nipe mmda kiaci niwape vitu real basi. nikatize karamu humu.
ile ilikua nikule hali ya kuomba dua













Habari njema hizi.
Maisha ya kawaida hayo mzeeMaisha wanayotamani wakunya na hawataweza kuwa nayo, labda foreigners na wanasiasa wachache ila co hawa vidampa wa humu jamii forums![]()
kiswahili changu kimefanya nini jameni? utanifunza kiswahili gani ww. skuli niliendadyfre huwa unanichekesha sn kiswahili chako![]()
Ndiko wanakoshinda kusaka utajiri 😂😂😂😂Halafu hela zao zote wanachukua page za Freemason.

Sasa kw freemason kuna nchi ukanda huu inayoizidi tanzania mzeeNdiko wanakoshinda kusaka utajiri
Uhuru failed these people big time kichizi![]()
Laki tatu na upuuzi
ni hizo bunda za red times 20




Abbreviation ya Motor CycleMbona piki piki za tz mnatumia MC katika usajili wake


