Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ni official by who?? mama ngina auπŸ˜‚πŸ˜‚
Imekuuma pia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ World bank!.., wewe leta source zile zote ambazo ziko available.., ata ya TBS(Tanzania Bureau of Statistics), zote zitadhibitisha., 2022 bado naona mtateseka sana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Wakenya wa humu ndani hakuna hata mmoja mwenye unafuu wa maisha, labda Tony254 pekee, wengine wote ni pangu pakavu tia mchuzi wasikudanganye na broken English zao.
Kuna yule alipiga picture kwenye ndege mbovu akasema yupo on flight dadeq ✈️✈️✈️✈️ πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
noted: NDINDA na @thebest007. ntarejea. i ll proof u wrong u pipo. yangu sio panganga. mafala hii. ntawahaibisha nyie watu

Karibu Mkuu Bongo Maisha mepesi sana. Nikiwa zangu Coco beach hapa napiga zangu Soda water ya Kichina (Peach flavor) na ka take away cha location flani muda wa lunch time huku nikiangalia meli na Upepo mwanana wa bahari. stress nizitake mwenyewe tu huku naangalia hela zako ulizodownload na kuzifanya marupurupu zipumzishe mshahara basi ni Burudani tupu.

IMG_4086.jpg
 
ww usitake kutudanganya sisi tu tuliotembea na tunaojua vzr haya mambo
yani kwenye suala la magari mengi tanzani iko mbali sana tena ina magari mengi sana

hata tukija kwenye taasisi za kiserekali tu ambazo number zao ni tofaut na za serekali

mfano hzi hapa na sio taasisi moja ziko kibao achilia mbali taasisi zisizo za kiserekali sasa
View attachment 2087765
Magari ya kunyaland
20220114_150009.jpg
 
Wakenya wa humu ndani hakuna hata mmoja mwenye unafuu wa maisha, labda Tony254 pekee, wengine wote ni pangu pakavu tia mchuzi wasikudanganye na broken English zao.
wee unajua kazi tunafanya na mahali tunaishi, na kiwango cha masomo yetu kweli wewe..... nakuhurumia sana The best 007. wee unaishi maisha chochole mwanzo
 
Karibu Mkuu Bongo Maisha mepesi sana. Nikiwa zangu Coco beach hapa napiga zangu Soda water ya Kichina (Peach flavor) na ka take away cha location flani muda wa lunch time huku nikiangalia meli na Upepo mwanana wa bahari. stress nizitake mwenyewe tu huku naangalia hela zako ulizodownload na kuzifanya marupurupu zipumzishe mshahara basi ni Burudani tupu.

View attachment 2088230
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ninyi ndio mnawafanya wakenya wazame Google ili wafanane na Watanzania πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Hehehehee nimekudaka mzee, Teargas njoo mchukue mdogo wako View attachment 2088055View attachment 2088056
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣πŸ’ͺπŸ’ͺ🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Aki ya mungu nimecheka kama mwehu🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Karibu Mkuu Bongo Maisha mepesi sana. Nikiwa zangu Coco beach hapa napiga zangu Soda water ya Kichina (Peach flavor) na ka take away cha location flani muda wa lunch time huku nikiangalia meli na Upepo mwanana wa bahari. stress nizitake mwenyewe tu huku naangalia hela zako ulizodownload na kuzifanya marupurupu zipumzishe mshahara basi ni Burudani tupu.

View attachment 2088230
Maisha ya pwani hayo
 
Wewe nae hua unahangaika na Magufuli hivi hua ni mkenya kweli?hawa walioko Bongo hawatuumizi kwa visitori vyao maana walipigwa na nyundo kichwani enzi zake,vyeti feki,mijizi,sasa wewe huko kenya hua unahangaikia nini kama vile mlichangia demu.Punguza shombo alishakufa.
Acha tu mkuu. Kuna Mkenya kule Nairaland kila muda ni kutokwa mapovu ya Magufuli. Hawezi kukaa bila kumsema na kumkashifu. Nikawa na mashaka kama ni Mkenya kweli kwasababu hio obsession sio kawaida. Inahitaji mental hospital.
Ni sawa na mimi Mtanzania kila saa nitokwe na mapovu ya Uhuru Kenyatta; sintakuwa na ugua ukichaa?
 
Karibu Mkuu Bongo Maisha mepesi sana. Nikiwa zangu Coco beach hapa napiga zangu Soda water ya Kichina (Peach flavor) na ka take away cha location flani muda wa lunch time huku nikiangalia meli na Upepo mwanana wa bahari. stress nizitake mwenyewe tu huku naangalia hela zako ulizodownload na kuzifanya marupurupu zipumzishe mshahara basi ni Burudani tupu.

View attachment 2088230
Maisha wanayotamani wakunya na hawataweza kuwa nayo, labda foreigners na wanasiasa wachache ila co hawa vidampa wa humu jamii forums
 
Back
Top Bottom