Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Masoko yote tumeshawafurusha, tutawafurusha South Sudan pia in shortest time possible.

By the way, Hospitali zetu zimejaa wakenya, tafadhali tunawaomba boresheni huduma katika Hospitali zenu
nipe hiyo link tafadhal, sababu hio sijaai skia. othrws it's always vice versa, pamoja na waganda. eg. nenda moi referral eldoret uone ni waganda wangapi wako uko
 
Yaa

Yaani wewe unachukua a CCM's politician word unatumia kama fact! hii kama sio ujinga utasema ni nini dogo? 😂 😂 😂 😂 😂 jaribu kudhibitisha maneno ya wanasiasa with facts, usikimbie nazo 😂 😂 😂 ., Now get the statistics across Africa, number of cars to people ratio, that's how it is measured dogo, infact find out the ranking of countries by number of cars to people ratio in Africa, na ujue pia hio sio kipimo cha utajiri necessarily, it is relative though, kwa vile ninapo jua mimi hapa Africa, Liberia ndio inaongoza kwa idadi ya magari to people ratio, yaani kati ya watu 3 or 4 kuna gari in Liberia licha ya uchochole wao.., sasa chunguza na Tanzania kwa hiyo population yenu kubwa, ambapo World Bank imedhihirisha wengi ni fukara wa kutupwa, gari moja linapatikana baada ya watu wangapi..,. chunguza Africa yoote, muache kukurupuka with your blind patriotism na reasoning uchwara...,
Kilaza kabisa wew jamaaa 😂😂 Unaskitisha sana .. data kutoka serikalini unazipinga.? Kuna mtu naijua Tanzania kuliko serikali ya Tanzania.? acha ufala wewe, hiy world bank yenyewe ni mpaka ipewe taarifa na serikali ndio na wao watoe tathmini zao.. kumbe we jamaa ni mtu Alaf akili za mdogo angu 😂😂😂
 
Hizo Gari za 2012 by now labda hata zote zimezeeka ama kupata ajali au kupitisha miaka ya kutumika Barabara I which is usually 8years hivo atoe data nzuri awache Kua duanzi
😂😂😂 Sio kama zitakua zimeongezeka nyingi zaidi, jamaa mko na chuki za kipumbavu nyie 😂😂 basi tena .. alafu kutoka 2012 hadi 2022 ni tofauti ya miaka kumi sio nane .. yani hivi 2022-2012=10 .. mpo nyuma yetu kwenye suala la magari tangu miaka kumi iliyopita. Ambapo gap hiyo mtaifikia ifikapo 2030 estimation says 👇
download (1).jpg
 
Huwa napendezwa sana na Swahili architecture. Kiufupi ni sanaa inayovutia sana, na sio tu kwasababu ya miundo yake ya kipekee, bali pia inabeba historia ya Miaka mingi iliyopita. Nafikiri kwa Tanzania bara, ikulu ya Tanzania ndio jengo maarufu zaidi ambalo liliundwa kwa kutumia Swahili architecture.
maxresdefault.jpg



Lakini kitu kinachonisumbua ni kuwa nchi ya Tanzania imeshindwa ku-promote ujenzi wa aina hii ya majengo na pia ku-preserve majengo mengi ya aina hii. Nchi kama Italy na Spain wana traditional building styles za Spanish na Mediterranean. Majengo yao yanavutia sana na wametunza tamaduni ya ujenzi wa majengo ya aina hii katika nchi zao na influence ya Spanish architecture ipo hadi Latin America. Mpaka Marekani hasa kwenye states zinazopakana na Mexico, kama California, Texas, na Arizona, utaona Spanish style homes nyingi sana. Mfano ni nyumba za aina hii
db87149a33e6a4cab18d33dc603e719d.jpg
Texas-Luxury-Home-Mediterranean-Inspired-Residential-Architecture_1.jpg


Pia Tazama miji ya Italy kama Florence. Panapendeza sana.
Florence-170003772-crop-56a0321b3df78cafdaa0743c.jpg
Italy_Houses_Begonia_439270_3840x2400.jpg


Inabidi tujifunze kuenzi tamaduni zetu. Wizara ya sanaa na wizara ya ujenzi ziingilie kati. Miji ya pwani ikiwa na majengo ya Kiswahili itapendeza sana. Pia local architects watafute inspiration kutoka kwenye Swahili architecture. Inapendeza sana ukiwa unatembea mtaani na kuona majengo yanayopendeza kama haya kuliko concrete buildings zisizo na mtindo wowote wa kuvutia.
IMG_9482.jpeg
IMG_9484.jpg
 
madaktari walio somea shahada ya Bachelor of Medicine (MBChB) kwa lugha ya kiswahili aisee. malimwengu hayo!. yani 'Bachela la Dawa'
There's no correspondence of word to word translation.. aina ya uundaji wa maneno iliyotumika hapo kutoka "bachelor"- bachela, inaitwa kutohoa/kukopa (in English borrowing) .. halafu neno "bachelor" kwa kiswahili fasaha ni shahada .. yani hivi 👇

English = bachelor
Kiswahili = shahada
 
Itawachukua Kenya karne mbili zijazo kufika hapa, the biggest marshaling yard in Africa
emoji7.png
emoji7.png
emoji7.png
View attachment 2085180
Yapi yuko slow but very sure!!!Naamini hii reli itaendelea kumuuza sana kwa nini asifikiri kujiestablish Tanzania?!,akiendelea ku-speculate na kupigania biashara kuelekea Congo na upande wa southern!!! future iko very promising!!!Huko kuna Tani na Tani za madini pia tunaelekea kwny large scale farming,umwagiliaji na viwanda vidogo vidogo!!!! Africa ndio bara linalokuja kushine!!!, Na Tanzania ni nchi iliyo na kila sababu kuanzia position yake geographically, politically na economically ikismama hata peke yake still bado kuna viability.
 
Uchumi mkubwa lakini hamuwezi boresha Hospitali zenu matokeo yake Wakenya wanajaza vitanda vya Hospitali zetu

Huyu mama wa Mombasa amesema, madaktari wao ni wakuzunguka, wanatoka nchi za mbali. Yaani Kenya hawana madaktari wazawa, ndiyo maana wagonjwa wanawekwa kwenye waiting list ndefu, kusubiri zamu yao. Muda wa madaktari kuondoka kwenda nchi nyingine ukifika, ndiyo basi tena.

Nimesononeka kwakweli.
 
Yapi yuko slow but very sure!!!Naamini hii reli itaendelea kumuuza sana kwa nini asifikiri kujiestablish Tanzania?!,akiendelea ku-speculate na kupigania biashara kuelekea Congo na upande wa southern!!! future iko very promising!!!Huko kuna Tani na Tani za madini pia tunaelekea kwny large scale farming,umwagiliaji na viwanda vidogo vidogo!!!! Africa ndio bara linalokuja kushine!!!, Na Tanzania ni nchi iliyo na kila sababu kuanzia position yake geographically, politically na economically ikismama hata peke yake still bado kuna viability.
Teyari ameshapata tenda Zimbabwe kuboresha reli yao ya zamani.
 
Back
Top Bottom