komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Bwahaha!!kwn uongo, nikuletee celebrities wa tz wanao feki na kuwa bustedUmeelewa topic?
Bwahaha!!kwn uongo, nikuletee celebrities wa tz wanao feki na kuwa bustedUmeelewa topic?
mm najua ukweli unaujua san ila hutak kukubali 😃😃😃Wanasiasa wenu wezi sana,
Hilo ni GK kwhyo anatembelea mtu yyye serekalini, ujuaji umekuponza
Mshahara wa laki nne za kenyamm najua ukweli unaujua san ila hutak kukubali![]()



na mbunge kenya analipwa shs ngapi??😂😂Mshahara wa laki nne za kenya
Wezi wakubwa
asanteni sana burundi 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Zikikamilika Tanzania kutakua na railway network kubwa sana . Lakini ni gharama sana ndio maana Rwanda kila wakisema wajiunga wana wanasuasuawanaumia ila wanavumilia sana
gitega ndio kwenye madini mengi sana nafkiri labda kwa baadae wataipeleka mpaka bujumburaNilikuwa najua Bujumbura ndio mji mkuu, au wamebadilisha?
hawana budi lazma wajiungeZikikamilika Tanzania kutakua na railway network kubwa sana . Lakini ni gharama sana ndio maana Rwanda kila wakisema wajiunga wana wanasuasua
Hilo najua kuna madini, hoja yangu ni je mji mkuu wa Burundi ni upi au kuna makosa ya uandishi yamefanyika?gitega ndio kwenye madini mengi sana nafkiri labda kwa baadae wataipeleka mpaka bujumbura
Wizdon anajiwe refu...Sasa Kenya mpaka uwe na 20 million ndio umiliki gari wakati Tanzania million 3 tu una uhakika wa kupata gari, wapi watakuwa na gari nyingi?
Case ya supercars ni tofauti na unachojaribu kuelezea sababu mwenye uwezo wa kununua Ferrari, ushuru sio issue kwake.
Kenya wengi masikini hamna uwezo wa kushindana na Tanzania lakini hamsikii
Wana mentality ya "Vyote vizuri na vya gharama ni vyao"Punguza ushamba, gari la mtoto wa bakhresa hilo halafu ni kweli magari 99% ya kifahari Kenya hawamiliki wakenya ni watu wa SS mostly watoto wa wanasiasa, na huo ushamba wa ukisajili gari Tanzania you escape taxes ni ulimbukeni sababu tofauti ni ndogo sana ya kodi kati ya nchi zetu na ukipeleka Kenya kuna muda utafika kibali cha kukaa Kenya kitaisha then it will be regarded as a freshly imported car na kodi zitakua zile zile, sasa kipi umekwepa?
Kingine huwezi kuja kusajili gari la gharama kiasi hicho Tanzania kisa kukwepa kodi kisha uweke customized number plate za gharama kiasi hicho ambazo utalipa 10 million each year, tatizo lenu Wakunya ni ushamba na umasikini, hamna exposure kabisa soo primitives.



In 2007 the Burundian government announced plans to eventually move the national capital from Bujumbura to Gitega.Nilikuwa najua Bujumbura ndio mji mkuu, au wamebadilisha?
hapana na sijaona makosa nafkiri wataonganisha mpaka bujumbura kwa baadae baada ya kufik hapo kwasababu gitega na bujumbura sio mbali sanaHilo najua kuna madini, hoja yangu ni je mji mkuu wa Burundi ni upi au kuna makosa ya uandishi yamefanyika?
kwenye magari mengi hapana hapa nakukatalia, tanzania kuna magari mengi sana tena sanaWizdon anajiwe refu...
Anyway wakenya wanamagari mengi kutuzidi,sijui kama ulitafiti vyema
Ukiacha kufikiria sgr ndio utanielewa, ukiendelea kufikiria sgr hautanielewa.hapana na sijaona makosa nafkiri wataonganisha mpaka bujumbura kwa baadae baada ya kufik hapo kwasababu gitega na bujumbura sio mbali sana