Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Punguza ushamba, gari la mtoto wa bakhresa hilo halafu ni kweli magari 99% ya kifahari Kenya hawamiliki wakenya ni watu wa SS mostly watoto wa wanasiasa, na huo ushamba wa ukisajili gari Tanzania you escape taxes ni ulimbukeni sababu tofauti ni ndogo sana ya kodi kati ya nchi zetu na ukipeleka Kenya kuna muda utafika kibali cha kukaa Kenya kitaisha then it will be regarded as a freshly imported car na kodi zitakua zile zile, sasa kipi umekwepa?

Kingine huwezi kuja kusajili gari la gharama kiasi hicho Tanzania kisa kukwepa kodi kisha uweke customized number plate za gharama kiasi hicho ambazo utalipa 10 million each year, tatizo lenu Wakunya ni ushamba na umasikini, hamna exposure kabisa soo primitives.
👍
 

Attachments

  • VID-20220115-WA0032.mp4
    2.1 MB
  • VID-20220115-WA0029.mp4
    2.1 MB
Haya top 5 richest families in kenya all asians kasoro kenyantta ..@Teargas NairobiWalker

mmekuwa mkisema or dewji etc kwa Tanzania jiangalieni nyie hapoView attachment 2084467
Ukileta kifamilia tanzania basi si itakua moto faya, wengine mtachezea mkia manake wahindi watashika mpka wachoke...
Alafu mbona km unajidanganya, we richest families za kenya wazijua kweli
 
Wao tangu wapate uhuru wameshindwa kujenga nyumba ya rais, president of Kenya anaishi kwenye choo cha mkoloni miaka nenda rudi, inasikitisha sana.
Ujinga Gani Huu Sisi Kuna ikulu ya rais in every major county Na zote kubwa Ni huruma tu tukiona mnashangilia ikulu
 
Hakuna kitu unajua hapa, hio kibali ikiisha you can renew for another 2 weeks, 1 month ama 3 months KRA, form C32 na Comesa and your good to go, tuulize sisi tukona magari kenya na tz
Sijakuelewa, unachobisha ni kwamba hilo gari sio la mtanzania au ni kwamba hakuna gharama zozote za kulipa Kenya kama gari linatoka nchi nyingine?
 
Ignorance Ni mbaya hehe tembea Wacha kukaa TU huko kwenyu bila kuget exposed there are different building materials Huo si udongo but a type of interlocking bricks that most Kenyan who are far from stone mining areas use to build View attachment 2084590View attachment 2084591View attachment 2084592View attachment 2084593Teyvare different types but most have that colour so jitoe ushamba eti ghorofa za udongo we uliskia wapi?
siku hzi umekua engineer wewe😂😂😂😂
 
Sijakuelewa, unachobisha ni kwamba hilo gari sio la mtanzania au ni kwamba hakuna gharama zozote za kulipa Kenya kama gari linatoka nchi nyingine?
Kumiliki gari kutoka nje naona kw mtazamo wangu ni rahisi sana hta kuliko hapa kenya, manake watu wengi sana wanafanya huo mtindo na bado wanaendelea..

Jamaa ana gari plates za tz karibia zote wakati hko hata nyumba hana, acha tz mpka South Sudan..somalia na ethiopia ndio sijaona ila uganda nimeona wengi sana
 
Uwongo eti pesa za ndani 🤣🤣🤣🤣🤣 every body now know Huo ni upuzi mtupu your debt files have started to emerge nikama vile mlivyo sema tanzanite Ni pesa za ndani eti Hera zetu 🤣🤣🤣🤣 kumbe pesa za kukopa pia
Mzee punguza makasiriko, Tanzania deni letu ni dogo mno na tuna mengi yakayowachukua miaka 50 to 100 kuyafikia wakati ninyi debt ceiling mmeivuka na bado ni shithole country.
 
Kumiliki gari kutoka nje naona kw mtazamo wangu ni rahisi sana hta kuliko hapa kenya, manake watu wengi sana wanafanya huo mtindo na bado wanaendelea..

Jamaa ana gari plates za tz karibia zote wakati hko hata nyumba hana, acha tz mpka South Sudan..somalia na ethiopia ndio sijaona ila uganda nimeona wengi sana
Niliambia hawa jamaa Kenya itatengeneza pesa nyingi sana kutoka Tanzania hawakuamini.
 
I’ve always been interested in learning about the information behind this data, so I dug in a little deeper. I thought this map showed Africa’s cities’ GDP wealth, but that’s not the case. Instead, what’s shown here is the private wealth of high-net-worth individuals living in each city. It’s funny because Tanzania has more people with $1 million+ and individuals with $30 million+ in assets than Kenya, yet the private wealth concentration in Nairobi is much higher than in Dar.

Most of these wealthy Tanzanians likely live in Dar es salaam because it is the financial and commercial capital of the country. Hence, their wealth concentration is centered within the city. Kenya doesn’t even have a dollar billionaire, but Tanzania has Mo Dewji, who resides in Dar. His wealth has got to affect Dar’s total private wealth significantly. I could be wrong, but something is fishy about this data.

It would be more helpful if these publishers provided the source of their data and more information. For example, how many of these wealthy individuals reside in each city, and more importantly, the total value of their assets.
It has a funny how Tanzanians are always complaining in everything hehe... It's a typical example of a child who lives in a village his mother buys them the best stuff in the village and the mother tells him everyday he is the best in the whole world and the kids grows knowing so.... One day when the kid goes to the city with him a mentality of being the best he can't understand how the other kids are beating him so he believes they are being favored or something.... So he will forever keep defending everything even when he is beaten hands down... Mara GDP is a fallacy Mara world bank is a fake institution only Dar can say a country strength Mara the world media is against Tanzania we are the best... Mara the internet was bribed to write fake data about Tanzania hehe.... The things you here from this south guys you have to seat back and laugh sometimes
 
hawaamini kama gari ni lamtanzania 🤣🤣

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kila siku nawaambia upole wa Watanzania wanauchukulia kama udhaifu, Watanzania wana pesa lakini wametulia, mkunya hawezi kuwa na laki 1 mfukoni usijue 😅😅😅😅 sasa akili zao hazitaki kukubaki kwamba mtu anaweza kuwa tajiri hivi yet hajioneshi.
 
Mkenya kaweza kununua gari ya million 600 kashindwa kulipa ushuru wa few pennies 😂😂😂😂😂

Mkunya ni taahira by nature, ni masikini lakini watajaribu kila njia kukana umasikini wao 😂😂😂
kenya mawaziri wao wote wanatumia prado 150 wakat huku kwetu wabunge tu wanatumia v8 200 series wakuu wa mikoa wanatumia v8 200 series pamoja na wakurugenzi wa jiji wanatumia V8
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kila siku nawaambia upole wa Watanzania wanauchukulia kama udhaifu, Watanzania wana pesa lakini wametulia, mkunya hawezi kuwa na laki 1 mfukoni usijue 😅😅😅😅 sasa akili zao hazitaki kukubaki kwamba mtu anaweza kuwa tajiri hivi yet hajioneshi.
kwani haoni kwa waarbu hvi kuna watu wenye pesa hii kama dunia kama waarabu lakini ushawah sikia wanajitangaza
 
Back
Top Bottom