Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama una ubavu leta gari celebrities wenu wanaendesha na Tanzania ilete wake, celebrities wenu tu kwanza 80% wanaishi kwenye slums
Kwanza celebrities wenu ndio wanaunga unga sana basi km hujui, ni kundi flani tu ndio wanatesa
 
Sasa Kenya mpaka uwe na 20 million ndio umiliki gari wakati Tanzania million 3 tu una uhakika wa kupata gari, wapi watakuwa na gari nyingi?

Case ya supercars ni tofauti na unachojaribu kuelezea sababu mwenye uwezo wa kununua Ferrari, ushuru sio issue kwake.

Kenya wengi masikini hamna uwezo wa kushindana na Tanzania lakini hamsikii

Kenya ndio inaongoza kuwa na magari mengi ukanda huu licha ya kuwa expensive kumiliki
 
Mbona unawatetea wahujumu uchumi
Tanzani watu ni walalahoi bana
hvi kuna mafisadi wakubwa kama wanasiasa wakenya watu wanaiba mpaka wanajiibia na wao wenyewe 😂😂😂😂😂
 
ikiwa msemaji wa yanga tu ana prado 150 ya 2019 sawa na anayotumia waziri wa kenya

haji manara aka bugati
komora096

Hii gari ndio Rais wao amepewa na serikali 😅😅😅

images (11).jpeg
 
Si umesema hapa gari zote foreign kenya si za wakenya , gari kenya ni very expensive but still tuna gari nyingi kuwashinda, gari ya maana kenya lazima ukue na tzs.20m kuendelea
Bila ya mita kuendelea huwezi pata gari ya maana, hapo umesema kweli
 
Back
Top Bottom