Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wizdon anajiwe refu...
Anyway wakenya wanamagari mengi kutuzidi,sijui kama ulitafiti vyema
 
Wana mentality ya "Vyote vizuri na vya gharama ni vyao"

Nimeona hadi kule twitter wanajidanganya huo upumbav aliouandika hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hilo najua kuna madini, hoja yangu ni je mji mkuu wa Burundi ni upi au kuna makosa ya uandishi yamefanyika?
hapana na sijaona makosa nafkiri wataonganisha mpaka bujumbura kwa baadae baada ya kufik hapo kwasababu gitega na bujumbura sio mbali sana
 
hapana na sijaona makosa nafkiri wataonganisha mpaka bujumbura kwa baadae baada ya kufik hapo kwasababu gitega na bujumbura sio mbali sana
Ukiacha kufikiria sgr ndio utanielewa, ukiendelea kufikiria sgr hautanielewa.
Sasa achana na sgr twende kwenye jiografia, mji mkuu wa Burundi ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…