chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,316
- 45,125
in full support of KenyaRailways decision. mu7 is giving kenyan drivers very hard tyme on matters to do with corona
Unaweza kutuonyesha picha angalau na wakenya washangae.Ya Dodoma ipo Ihumwa inaenda kupitiwa na ring road 4 lanes, ikikamilika itakua hatari na dry port ipo hapo hapo
GDP kubwa halafu chakula huna. Yaani tajiri unalala njaa mpaka unaonewa huruma . Use your common sense bro ..... Ushawishi sikia tajiri hawezi afford msosi .... Basic needs food , shelter and clothes ..... Sasa majorities wa kunyan food mpaka mnapewa msaada . Kwenye shelter kuna slum za hatari halafu unasema GDP . Unataka kibogoyo useme umetemewa mate.Sasa wewe mdanganyika ambaye anakunyua supu ya pweza, kula mtori na kusifu magufuli ni mjanja kuliko world economists ambao wanapima maendeleo ya nchi kutumia gdp/population??
Baki na ndoto za mchanaRaila au Ruto kua rais wa Kenya hainishtui ata kidogo. Tuna katiba murwa. Ukweli ni kwamba magufuli alikufia Nairobi Hospital. Kenya ndo kuna hospitali nzuri.
Multiplier effect ya nyerere dam ikikamilika ndio mtaona pure economic development . Kukiwa na affordable power supply itaongeza sana uzalishaji kuna matunda , vyakula na vitu vingi haswa perishable goods zinaaribika mashambani kwa kukosa semi manufacturing factories huko vijijini . Bahati mbaya wakulima wa Tanzania hawakati tamaa lakini mazao mengi yana haribikia shambani haswa kipindi bei ikiwa chini . So viwanda vidogo vikipata umeme wa bei nafuu vitaongezeka sana na itakuza uchumiTanzania itafikia GDP ya $100b mwaka 2026 kipindi icho Kenya itakuwa na $153B ,vp ilo gape halizibiki Au![]()
😄😄source ni YouTube? Huko kila aina ya fake news wanaweka ikumalizie gb waingize ela .Look at your dead president who was admitted in Nairobi Hospitaland we eliminated him for being a hypocrite who was hating Kenyans and still coming to use our hospitals. View attachment 2081865
Basi kw makaazi gani nyie mliotushinda sisiGDP kubwa halafu chakula huna. Yaani tajiri unalala njaa mpaka unaonewa huruma . Use your common sense bro ..... Ushawishi sikia tajiri hawezi afford msosi .... Basic needs food , shelter and clothes ..... Sasa majorities wa kunyan food mpaka mnapewa msaada . Kwenye shelter kuna slum za hatari halafu unasema GDP . Unataka kibogoyo useme umetemewa mate.
Kw tanzania labda, youtubers wetu sio wambeasource ni YouTube? Huko kila aina ya fake news wanaweka ikumalizie gb waingize ela .
Ndivyo walivyo hao wakunya, kujifanya wanajua kila kitu bila kufanya udadisi.Umelogwa ww ile sio arabian architecture uliza ufahamishwe.
Uchumi wenu hasa hasa mizizi yake ni ipi?, Uchumi wenu ni WA kubabaisha Sana, mnategemea "remittances" ambazo sio stable source of income"GoK can't plan or control flow of remittances"Uchumi wetu hauyumbishwi mzee, uchumi wetu sio wa kijinga km wa nchi zingine..
Angalia km angola, sai yupo hoi
That is a clear ticket for Tanzania to continue the export markets of this regionin full support of KenyaRailways decision. mu7 is giving kenyan drivers very hard tyme on matters to do with corona




HIzo ni story za vijiwe vya kirinyaga wacha wajifurahisheKw tanzania labda, youtubers wetu sio wambea
Kenya has a market-based economyUchumi wenu hasa hasa mizizi yake ni ipi?, Uchumi wenu ni WA kubabaisha Sana, mnategemea "remittances" ambazo sio stable source of income"GoK can't plan or control flow of remittances"


Kenya hakuna vijiwe, kila mtu ana mishe mishe zakeHIzo ni story za vijiwe vya kirinyaga wacha wajifurahishe
Tumejenga kiwanja miongo kadhaa iliyopita, ndio ujue sisi sio size yenuMeanwhile,
A kasalani pathetic fort in a failed state of Kunyaland
Imagine this is the best they haveView attachment 2082823