Yaani jinsi nchi yenu ilivyopigika kwa kuiga njia za western kupambana na covid, kampuni nyingi zimefungwa ukweli mnaujua, wafanyakazi wengi wamepunguzwa ukweli mnaujua, hali yenu mbaya inafika mahali hamna hata chakula, kama alivyosema Magu.
Eti leo unashangilia bila kujua kwamba IMF ni wafanyabiashara wanaojaribu kuongopea ma lazy kwamba hata ukope mikopo na ujifungie kama Kenya bado uchumi wako unaweza kukua kuliko nchi ambazo zilikuwa hazikopi na hazijajifungia, ww mwenyewe uliyepost unakataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]