Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We acha story nyingi, tz mi youtong inakula vumbi kuruka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii pich sio ya kitambo, nimepata fb jamaa kapost sijui wakielekea wapi vile nikaamua niihifadhi km 2weeks ago

JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Darfur looks tinny

 
Okey boss shukrani kwa punchlines zako
 
Arguing with you people is a total waste of time. Nimesema kwamba mahali nilipo stima ilipotea na kurudi baada ya masaa matatu na haijapotea tena. Kama hatujui kushugulikia majanga ya dharura na hatuna wataalamu wa kutosha mbona sisi tulirudishiwa stima chini ya muda mfupi?

Maeneo ambayo yalishuhudia prolonged power outages ilikuwa ni kutokana na high voltage power line towers ambazo zilianguka. How long do you think it takes to replace a high voltage power line tower (if you know what it is)?

Najua hizi keleke zote zinasababishwa na hasira kwamba Kenya GENERATES and CONSUMES more electricity than your shithole country but mtazoea tu
 
Okey boss shukrani kwa punchlines zako
Ila ninyi wawili I suspect ni mtu mmoja, mnajazana ujinga weee na kusapotiana, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na inaonekana hata hamjawi toka hapo mlipo

Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kusema hii mikoa Kigoma yote kwenda Kagera,Tabora,Katavi ni vumbi tupu.

Mbeya to Singida,Tabora vumbi tupu,Arusha to Mara,Simiyu vumbi tupu, Morogoro to Njombe,Ruvuma vumbi tupu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii mikoa napita kila leo, yaani mpaka namuonesha jamaa yangu hapa tunakauka kucheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwahyo hizi ☝️ ndio hizo interchange upo hapa kuzipogia kelele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hivi vidaraja vyenyewe bado havijakamilika alafu unapiga kelele kuhusu mombasa kuwa na daraja nne πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
Tuonyeshe zenu zenye zimekamilika nje ya Dar
 
Hizi barabara zimeisha na kuisha labda zinasubiri kufunguliwa tu,


Kipande kidogo cha Uvinza to Malagarasi na kilometers nyingine 300 kutoka Kabingo, Kasulu, Kakonko, Kibondo mpaka Nyakanazi vipo kwenye ujenzi saivi.
 
My point dogo πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ ..., nothing ya maana zaidi ya hapa..., hii ndio town centre ya Dar.., kwingine ni shopping centres na makazi with scattered buildings.,., mnakuja vizuri, ila bado sana...,
View attachment 2079618
Mzee hapa inaoneka posta kwa mbali sana, picha hii imepigwa kutokea magomeni, hapo ni posta na Kariakoo kidogo na hata posta yenyewe haionekani yote.. unavyofanya comparison jitahidi kuwa fea, hakuna CBD hapo Nairobi inayowezana na posta pekee.. yani chukua CBD mbili za hapo NAIROBI ndio upate posta tu.. Kariakoo ni kubwa kuliko posta, Upanga ni kubwa kuliko posta ingawa (kimaendeleo posta ipo juu) .. eneo la CDS zenu ni dogo sana kulinganisha na na Posta, Kariakoo na Upanga.. sa siji huwa mnatamba na kitu gani
 
Unatiwa na wanga, yani mm degree holder nisijue kingereza alafu wewe form four ujue c maajabu ya Musa haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko na degree na hujui maana ya neno parallel! πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mzee sehemu inayookana kwenye picha hapo ni posta tu, na hakuna CBD hata moja NAIROBI ambayo iko na ukubwa sawa na posta. Vipi we ulisema mwaka huu utakua mtu mwema, lakini naona bado hujawa mwema, kazi yako ni ileile kusema uongo.. Kariakoo ni kubwa kuliko CBDs zenu zote tatu combined baba .. nje ya CBDs zenu kuna kipi cha maana zaidi ya apartments mzee.? na hicho ndio kitu mnatupiga gape, ila sio kwa ukubwa wa financial district kaka, battle mnayotuzidi nyinyi ni wingi wa real estate tu..
 
Ziweke moja baada ya nyingine nami nitazipea what to compare with..., just put them here, moja baada ya nyingine..., hiyo picha ndio mjini Dar(posta and Kariokoo makes Dar).., yaani what u call town/city centre..., ama weka hizo eneo unataja zaidi ama mbali na hapa; Ilala, Upanga.., nikufunze ama nikuonyeshe ama nikufahamishe mbali na hapa πŸ‘‡ hakuna cha maana Dar to call a town or business district.., dont touch here πŸ‘‡ πŸ‘‡ .., tuende nami nitakupa Nairobi baada ya nyingine.., ata kama ni kesho, sina haraka dogo.., Dar what u can call developed area to function as a business district ni ndogo sana... only here ndio sehemu ya maana angalau πŸ‘‡ πŸ‘‡


 
eti CBD mbili Nai ndio upate posta, what are u smoking πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ .,
 
Yeye kaona barabara ya 19km kichwa chake kikamtuma ni kutoka city centre hizi ni athari za kulala kwenye slums dish lazima liyumbe kidogo
 
Hyo blackout unayoisema wewe kwetu ilienda saa nne saa nane ikarudi..sasa hyo 24hours sijui umeitoa wapi..

Tatizo pia lilikua linajulikana ni nini ndio manake watu hawakulalamika sana, km ni tz labda ndio mngelikaa siku tatu..km ubovu wa mashine tu mumeanza kugaiwa umeme

JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…