komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sasa nkuulize hivi, dongo kundu kule BRT una wapeleka watu wapi..Asa hii barabara yenye BRT Kimara Kibaha hujui kama Kibaha ni Pwani mkoa Mwingine tofauti na Dar?
Ukinambia brt mombasa-mtwapa(kilifi county) ipo reasonable ni sasawa na brt nairobi-thika(kiambu county) inaeleweka lkn sio BRT nairobi-muranga
JamiiForums mobile app

