Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tzn kimataifa,kote tunachakaza

Screenshot_20220110-081011.png
 
Hahaha nyie huwa wajinga siku zote. Utaambiaje investor jinsi atakavyotumia pesa zake? Hii mambo ya kujipiga kifua ndio huwa inawafukuza investors inawafanya watoroke Tanzania na kuenda Mozambique. Yaani nyie ni nani mnajipiga kifua kwamba lazima lng gas plant ijengwe on shore hata kama investors hawataki? Sasa ona mtaka yote hukosa yote, hamjapata mlichokuwa mkitaka. Hamuwezi kulazimisha investors kufanya wasichotaka kufanya. Mimi sikuwahi kupenda jinsi Magu alivyokuwa akiendesha vitu kibabe. Alikuwa anapenda kutumia kifua kila mahali hata mahali ambapo busara na ustaarabu unahitajika. Sasa Mozambique wanakula mema ya nchi wakati nyinyi bado mnahangaika kutafuta investors. Huyu mama naona hana damu moto na ukurupukaji kama mwenda zake natumai ataweza kukaa chini na investors na kuwashawishi walete meli waanze kuchimba na kuvuna gesi. Wacheni masharti mengi za kipuuzi kwa investors. Investors hawapendi masharti mengi za ujinga.
Sisi mzee hatukurupuki investors have to play to our tunes kuhakikisha kuwa nchi inapata what it deserves in real terms kuliko kujivunia gas sales on paper ambazo utaambulia only 20% . Wakiringa tutakuja kuchimba wenyewe tukiwa na uwezo
 
Basi mbona mnanyanyaswa kwa Gold?
 
Alafu kuna hile ingine enye waziri aliwaambia ati 3.5B people watched the burial of Magufuli
Mama yangu, hyo nlikua nimesahau aisee..hawa majamaa ni wajinga wakupindukia..eti tanzania inaongoza afrika kw usambazaji wa umeme wa vijijini alafu kwnye list wako peke yao

Mpka sometimes najikuta napata full burudani hapa jf, yani uongoze afrika alafu wa pili na watatu wasijulikane

JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli wakenya wengi wana talent ya kuwa lunatic & idiots. Kwani barabarani unapoambiwa kwamba maximum speed ni 100km/hr ina maana hiyo ndio maximum speed ya gari? Au barabara haiwezi kuhandle speed zaidi ya 100km/hr?
Look at this troglodyte 😂😂😂. You said it yourselves that your railway can handle trains that go 200km/h and that you'll bring those trains in the future. You don't even understand your own analogy which in the first place is stupid. The trains you ordered can travel at a maximum speed of 160km/h. Your railway can support trains that go up to 200km/h. I never said your railway is incapable of supporting your 160km/h trains. Please learn English and stop embarrassing yourself
 
Mama yangu, hyo nlikua nimesahau aisee..hawa majamaa ni wajinga wakupindukia..eti tanzania inaongoza afrika kw usambazaji wa umeme wa vijijini alafu kwnye list wako peke yao

Mpka sometimes najikuta napata full burudani hapa jf, yani uongoze afrika alafu wa pili na watatu wasijulikane

JamiiForums mobile app
Ndio maana Magufuli alizoea kuwadanganya. Alafu pia the same same minister aliwadanganya ati kuna trains sijui wameorder from Germany na itafika Tanzania November 2021. We are now in 2022 lakini bado trains hazijafika😂😂
 
Sisi mzee hatukurupuki investors have to play to our tunes kuhakikisha kuwa nchi inapata what it deserves in real terms kuliko kujivunia gas sales on paper ambazo utaambulia only 20% . Wakiringa tutakuja kuchimba wenyewe tukiwa na uwezo
Kheri mpate 20% na mpunguze umasikini lakini kama mumechagua umasikini basi ni sawa. Ni chaguo lenu.
 
sio mm niliosema aliosema ni waziri mwenyewe anaejua zaidi kuliko mm na ww🤣🤣🤣🤣
Yaeh, waziri ambaye aliwaanga ati SGR itaanza kufanya kazi 2019. Waziri amabaye aliwadanganya ati Tanzania imeorder train from Germany na zitafika November 2o21?😂😂
 
Back
Top Bottom