game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
imagine sasa hapa ni dar vs mombasa.. ata mmenda mbali sana, ingefaa mwanzo tuanze na dar vs kisumu
Kisumu yenyewe sasa


imagine sasa hapa ni dar vs mombasa.. ata mmenda mbali sana, ingefaa mwanzo tuanze na dar vs kisumu


Tumeanza kuwa watamu kwenye picha, unajua watz huwa tunafeli kwenye picha tu, kina NDINDA wanajitahidi sana.Leo umewanyoshaa![]()
Nilidhani labda Thika imezidi kimara-kibaha highway, kumbe zote ni 8lane roads.i thought kimara-kibaha, would compete with thika superhighway, lakini bado saana.... may be muongo mbili zijazo. babalevo was just accurate View attachment 2076404View attachment 2076403
Maumivu yakizidi muone daktari.Mtasubiri sana ona foot bridge hyo hapo chini..barabara ina sections kibao na kila sehemu ina kazi yake..sio nyie kitu kimenyooka mwanzo mwisho banaView attachment 2076415View attachment 2076416View attachment 2076417View attachment 2076418View attachment 2076419
JamiiForums mobile app
Wewe wakisha kukopa utam huko unaparamia tu watu hovyo hovyo.Kwhyo kassim majaliwa alikuwa mpumbavu kutangaza km by 2019 kitu kitakua kimeisha watu tayari kukitumiaee..
Manake haiwezekani hyo technology asiijue eti uje uijue wewe zee la mihogo na viazi rojo
JamiiForums mobile app
www.pd.co.ke
Tanzania trains are full automatic(it can run without a driver), the speed of the train can be increased or decreased from control center in Dar es Salaam, the railway is continuous weldedebu taja hizo 'technologies' ambazo zimetumika kwa SGR ya Tz zanye hazikutumika ya Kenya.
weeee thika is a 12 lane road ... maasai weweNilidhani labda Thika imezidi kimara-kibaha highway, kumbe zote ni 8lane roads.
Hebu onesha hizo 12 lanesweeee thika is a 12 lane road ... maasai wewe





Naona umejumlisha njia za kuingia na kutoka, na service roads





Nimekuuliza swali simple, what are those 'technologies' that were used on the Tz SGR that were not used on the Kenyan one. Mbona unashindwa kujibu swali simple hivi?Budaa, kama umeshindwa ku notice kitu obvious kama hicho kwamba TZ ni high tech and complex kuliko your diseal railway line bhas naamini hata tukimuweka Tembo katikati ya uwanja wa Kasarani unaweza usimuone pia.
Muone daktari, uko kwenye stage mbaya. On critical denial.. You can't grasp the truth.
Sent using Jamii Forums mobile app
the 8 lane roa we have is known as outering road...which is even more prittier than kimara yenu hiyo hebu tazama hapa chiniweeee thika is a 12 lane road ... maasai wewe
I'm talking about the SGR, not the train. Your trains are not here yet, we can't talk about non-existent things. Mbona mnakuwanga mambumbumbu kwa kuelewa hivi?🚮🚮Tanzania trains are full automatic(it can run without a driver), the speed of the train can be increased or decreased from control center in Dar es Salaam, the railway is continuous welded
service road ni part of the road my brother, kila lane hapo in jina lake ....hiyo barabara ni almpst 50 kilometers hivyo ni lazima iwe na muundo wa kiaina hiyo.........service road imeamabatana nayo moja kwa moja...yaani kama alivyosema baba levo...mna miaka kama 25 mfikie nairobiNaona umejumlisha njia za kuingia na kutoka, na service roads![]()
Haya, tuonyeshe sevice lanes zenu kwa hiyo Kibaha.🤣🤣Naona umejumlisha njia za kuingia na kutoka, na service roads![]()
I can't believe we are still having this conversation.Nimekuuliza swali simple, what are those 'technologies' that were used on the Tz SGR that were not used on the Kenyan one. Mbona unashindwa kujibu swali simple hivi?
Ha! Ati obsolete yet those are the cars that dominate the market today 😂😂. I bet your roads are full of EVs and not cars with "obsolete technologies" 😂😂😂😂.Great, what are the specs for the fuel system? Is it something you created from scratch or you incorporated other systems like Bosch Motronic?
We're not interested in obsolete technologies, ours will be electric, which is more efficient as torque is directly transferred into the wheels.