Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i thought kimara-kibaha, would compete with thika superhighway, lakini bado saana.... may be muongo mbili zijazo. babalevo was just accurate
thika-highway.jpg
unnamed.jpg
 
Acha ku compare mimba ya Panya na ya Tembo kijana.

Hiyo diesel yenu ni cheap na haina technology kubwa kutengeneza. Sourcing ya material kafanya mchina kapulizia rangi tu vitu wameng'oa kwenye reli zao huko Waka dump hapo kunya land.

Unlike TZ SGR which use sophisticated technology with high tech skills. Also sourcing are from world renowned suppliers. So you can't compare those two.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo kassim majaliwa alikuwa mpumbavu kutangaza km by 2019 kitu kitakua kimeisha watu tayari kukitumiaee..

Manake haiwezekani hyo technology asiijue eti uje uijue wewe zee la mihogo na viazi rojo
JamiiForums mobile app
 
Hapo kati kati wameanza kupatenganisha my guess it will be an express way..so cars that move non stop..i thought itakuwa BRT at first lakini naona nafasi ya vituo haitosha. labda kama vitakuaa na design tofauti...

On another News Serikali imeongezea 56bil tsh kumalizia some componets wamesema ni flyover at Mbezi to Goba Junction, plus some roads to Magufuli terminal ..na taa za roada ..i think they need to tarmac all reserve roads pembeni pia
 
Gari yenyewe inatoa 86 horsepower at 5500 rpms, wakati Mk1 Golf (Volkswagen ya 1970's) yenye engine ndogo kuliko hiyo (Mobius 1) inatoa horsepower karibu sawa at only 3000 rpm. Sasa hiyo ni gari au mkokoteni? Hii takataka ukiipandisha mlima kitonga, cylinder head ita "warp" na engine kuchemsha, safari inaishia hapo hapo.
20220111_015943.jpg

Why are you talking about Mobius 1 which was a prototype made almost a decade ago. We are at Mobius 3 now. You should be showing us your Tanzanian made cars before talking trash
 
Why are you talking about Mobius 1 which was a prototype made almost a decade ago. We are at Mobius 3 now.
Great, what are the specs for the fuel system? Is it something you created from scratch or you incorporated other systems like Bosch Motronic?
You should be showing us your Tanzanian made cars before talking trash
We're not interested in obsolete technologies, ours will be electric, which is more efficient as torque is directly transferred into the wheels.
 
i thought kimara-kibaha, would compete with thika superhighway, lakini bado saana.... may be muongo mbili zijazo. babalevo was just accurate View attachment 2076404View attachment 2076403
We’re not building this highway to compete with you. We’re building it to meet our development goals. If you want to make a fair comparison, hold your horses until the construction of this highway is complete.
 
ebu taja hizo 'technologies' ambazo zimetumika kwa SGR ya Tz zanye hazikutumika ya Kenya.
Budaa, kama umeshindwa ku notice kitu obvious kama hicho kwamba TZ ni high tech and complex kuliko your diseal railway line bhas naamini hata tukimuweka Tembo katikati ya uwanja wa Kasarani unaweza usimuone pia.

Muone daktari, uko kwenye stage mbaya. On critical denial.. You can't grasp the truth.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom