Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hawanunui mobius
They bought Mobius 2, Mobius 3 ndio bado lakini watanunua.

This is mobius 2.
1641824963424.png
 
Baada ya miaka ngapi hivi dogo? mtakua hai kweli? kwa hii ugoi goi wenu, mwendo wa konokono
Acha ku compare mimba ya Panya na ya Tembo kijana.

Hiyo diesel yenu ni cheap na haina technology kubwa kutengeneza. Sourcing ya material kafanya mchina kapulizia rangi tu vitu wameng'oa kwenye reli zao huko Waka dump hapo kunya land.

Unlike TZ SGR which use sophisticated technology with high tech skills. Also sourcing are from world renowned suppliers. So you can't compare those two.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongelea quality, number of lanes and length.
Kwani BRT sio lanes? BRT ni the most modern international standard mzee, Huwezi kulinganisha na barabara ya aina yoyote labda highway yenye tram in between ndio zinaweza kubattle na highway yenye BRT
images - 2022-01-10T183617.946.jpeg
 
Back
Top Bottom