Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23] Ajabu kweli.. pitia hapa ujue maana ya Flyover, inaonekana wewe ndio hujui maana ya Flyover [emoji116]View attachment 2075590alafu usinitoe kwenye reli, jibu swali bhana.. hii [emoji116] ni kijazi interchangeView attachment 2075592top level road is 700m long, je kenya ukiitoa express way (barabara ya mchina) kuna flyover ndefu kuliko Kijazi interchange.? Maelezo yake [emoji116]View attachment 2075594
kidimbwi......after 200 metres uswazi roads [emoji1787][emoji1787]
 
tafuta source sahihu upost hapa ww na waziri nani anaejua zaidi??😂😂😂

waziri kasema baadhi ya maeneo itakwenda mpaka 200km per hour ww unabisha nani anajua zaidi🤣🤣🤣
SGR ya Tz has a maximum sped of 160km/h, hiyo 200km ni yako .
 
Kwa kweli wakenya wengi wana talent ya kuwa lunatic & idiots. Kwani barabarani unapoambiwa kwamba maximum speed ni 100km/hr ina maana hiyo ndio maximum speed ya gari? Au barabara haiwezi kuhandle speed zaidi ya 100km/hr?
Kwenye masuala ya treni ni tofauti, acha udwanzi we bwege

JamiiForums mobile app
 
Debt to GDP ratio ya Tanzania ni 55%😂😂
Yetu hii hapa 👇

Screenshot_20211229-185713.png
 
Japan has a debt to GDP ratio of 256.86%.
Tanzania has a debt to GDP ratio of 39.15%.
Guess which one is the 6th most powerful nation in the world and which one is an impoverished East African country 😂😂😂😂
Subirieni kupigwa mnada tuu mkawe wake za wachina,hayo mengine ni kujifariji.
 
tafuta source sahihu upost hapa ww na waziri nani anaejua zaidi??[emoji23][emoji23][emoji23]

waziri kasema baadhi ya maeneo itakwenda mpaka 200km per hour ww unabisha nani anajua zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni yale yale ya waziri kasema kumbe[emoji1787][emoji1787]
Mheshimiwa rais yupo salama amewasalimia sana na anaendelea shughuli zake za kawaida"
JamiiForums mobile app
 
bado nipo dodoma mpk sasa, watu wa huku.. wananchi, viongozi wanasema mama hana mpango wa kuiendeleza dodoma kama rais aliepita alivyokuwa anafanya.. atatekeleza tu ile mirad iliyokuwa approved/iliyotengewa fedha tayar..
huyu mama.. 2025 vita yake itakuwa kubwa sana.. aangalie watu wasije wakamwondoa kwenye urais au hata uhai
Acha shobo za kijinga,na usimuite mama sio mama yako huyo muite mh.Rais
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ajabu kweli.. pitia hapa ujue maana ya Flyover, inaonekana wewe ndio hujui maana ya Flyover [emoji116]View attachment 2075590alafu usinitoe kwenye reli, jibu swali bhana.. hii [emoji116] ni kijazi interchangeView attachment 2075592top level road is 700m long, je kenya ukiitoa express way (barabara ya mchina) kuna flyover ndefu kuliko Kijazi interchange.? Maelezo yake [emoji116]View attachment 2075594
Hata mlima mbogolo pale kilifi una afadhali, yani hapo ukipanda unashuka tayari[emoji1787][emoji1787]
Donation zngine bana, hata ni zarau

JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom