Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20220110-093430_1.jpg

Kuna jamaa angu mmoja ameniambia nikuulizeni, eti ukiitoa express way ya mchina hapo NAROW BEE ni flyover ipi ni ndefu kuliko Kijazi interchange.?
 
Kitu usijojua kuhusi lng ya tz ni tofauti na mozambique in tz kuna producers kama 4 halafu kila producer alitaka offshore lng facility kama ya mozambique sisi tukasema No what we want ni one shared onshore lng facility hata baada ya reserves kuisha mtambo utabaki tz unlike mozambique mtambo umejengwa juu ya meli na inapakia hukohuko baharini kina kirefu na reserves zao zikiisha wanaondoka na meli yao yenye mtambo wa lng sisi hatutaki hivyo mtambo wetu utakuwa ni mali ya serikali wale producers kila mmoja atapewa quarter yake katika kuchakata gas.
Hahaha nyie huwa wajinga siku zote. Utaambiaje investor jinsi atakavyotumia pesa zake? Hii mambo ya kujipiga kifua ndio huwa inawafukuza investors inawafanya watoroke Tanzania na kuenda Mozambique. Yaani nyie ni nani mnajipiga kifua kwamba lazima lng gas plant ijengwe on shore hata kama investors hawataki? Sasa ona mtaka yote hukosa yote, hamjapata mlichokuwa mkitaka. Hamuwezi kulazimisha investors kufanya wasichotaka kufanya. Mimi sikuwahi kupenda jinsi Magu alivyokuwa akiendesha vitu kibabe. Alikuwa anapenda kutumia kifua kila mahali hata mahali ambapo busara na ustaarabu unahitajika. Sasa Mozambique wanakula mema ya nchi wakati nyinyi bado mnahangaika kutafuta investors. Huyu mama naona hana damu moto na ukurupukaji kama mwenda zake natumai ataweza kukaa chini na investors na kuwashawishi walete meli waanze kuchimba na kuvuna gesi. Wacheni masharti mengi za kipuuzi kwa investors. Investors hawapendi masharti mengi za ujinga.
 
Ni bora tusijenge hata miaka 20 ijayo kama maslahi ya nchi hayatazingatiwa ..Ni bora uliwe for the sake of kuonekana unazalisha gas na mwanachi hafaidiki..au ukae miaka 20 unatafuta maslahi mazuri yatayonufaisha NChi?

We still have alot of unataped potenital without using that gas

Agriculture tu hatujai exploit fully
Hatujaanza Kuchimba na kuprocess Iron yetu
Ndo kwanza tumesign mikataba ya Graphite
Manufcturing yetu hatujaitumia vya kutosha
Fishing bado
Tourism bado hatujafika hata 5bn usd kwa mwaka in revenues
So muendelee kuwa masikini kwa miaka ishirini zijazo kwa sababu hamtaki kuliwa? Hahaha. Mbona mnaliwa kwenye migodi za dhahabu na hamlalamiki? Usichojua ni kwamba serikali ya Mozambique inamiliki 15% ya kampuni hii iliyoundwa kuvuna hii gesi. Isitoshe watapokea royalities na taxes kutoka kampuni hio. Ukijumuisha dividends watakazopokea kwa sababu wao ni shareholders,taxes kwa mfano corporate tax, na royalties basi nchi hii itavuna pesa kwa magunia. Kumbuka gesi hii tayari imeshanunuliwa kwa miaka ishirini. Yaani mteja ameshapatikana na ameshanunua gesi lote kwa miaka ishirini. Yaani kaeni hapo mkiwa masikini wakati Mozambique wananeemeka na kujivinjari na mema ya nchi na baraka za rasilimali walizopewa na Mungu.
 
Nimeuliza hivi ukiitoa express way ( barabara ya mchina) ni Flyover ipi hapo mjini NAIROBI ni ndefu kuliko Kijazi interchange, ambayo 👇the top level on the Nelson Mandela and Samnujoma roads is 700m long standing at 16.3m highView attachment 2075570yani hii 👇.?View attachment 2075575
Wewe unajua hata maana ya flyover kweli? Since when did a lower road become a flyover?🤣🤣🤣
 
Wewe unajua hata maana ya flyover kweli? Since when did a lower road become a flyover?🤣🤣🤣
😂😂😂 Ajabu kweli.. pitia hapa ujue maana ya Flyover, inaonekana wewe ndio hujui maana ya Flyover 👇
Screenshot_20220110-100225_1.jpg
alafu usinitoe kwenye reli, jibu swali bhana.. hii 👇 ni kijazi interchange
3048936_IMG_3552.jpg
top level road is 700m long, je kenya ukiitoa express way (barabara ya mchina) kuna flyover ndefu kuliko Kijazi interchange.? Maelezo yake 👇
Screenshot_20220110-093430_1.jpg
 
Back
Top Bottom