Dodoma ring road wafanyakazi 80% wamepunguzwa kazi na mradi upo 5%bado nipo dodoma mpk sasa, watu wa huku.. wananchi, viongozi wanasema mama hana mpango wa kuiendeleza dodoma kama rais aliepita alivyokuwa anafanya.. atatekeleza tu ile mirad iliyokuwa approved/iliyotengewa fedha tayar..
huyu mama.. 2025 vita yake itakuwa kubwa sana.. aangalie watu wasije wakamwondoa kwenye urais au hata uhai
Ila ndugai ni mtu wa ajabu sana, so soft, yeye ndio alikua kwenye position nzuri ya kuipigania Dodoma yao, sasa kajiuzulu then what?Sponsor wake alishasema wakati wanaweka jiwe la msingi la kujenga ikulu mpya kipindi cha Magu, kuwa, katika uongozi wao hawakutaka Ikulu iwe mbali na pwani.
Ni bora tusijenge hata miaka 20 ijayo kama maslahi ya nchi hayatazingatiwa ..Ni bora uliwe for the sake of kuonekana unazalisha gas na mwanachi hafaidiki..au ukae miaka 20 unatafuta maslahi mazuri yatayonufaisha NChi?Nyie hamjaanza kujenga na hamtawahi kujenga. Yenu ilikuwa ni hadithi za Abunuasi tu.
Unawaambia Wakunya hivi hawakuelewi ndio maana kila siku nasema elimu yao ni the shittiest, uelewa wao kimo cha funza na negotiations ni kitu kilichowapita kushoto sana.Kitu usijojua kuhusi lng ya tz ni tofauti na mozambique in tz kuna producers kama 4 halafu kila producer alitaka offshore lng facility kama ya mozambique sisi tukasema No what we want ni one shared onshore lng facility hata baada ya reserves kuisha mtambo utabaki tz unlike mozambique mtambo umejengwa juu ya meli na inapakia hukohuko baharini kina kirefu na reserves zao zikiisha wanaondoka na meli yao yenye mtambo wa lng sisi hatutaki hivyo mtambo wetu utakuwa ni mali ya serikali wale producers kila mmoja atapewa quarter yake katika kuchakata gas.
People got money and chilling
Kwani Corona imeisha? No mask and zero distance
Ndugai siyo mpiganaji, ila sijui ni nini kinaendelea huko ndani CCM, inaonekana kumepasuka hasa.Ila ndugai ni mtu wa ajabu sana, so soft, yeye ndio alikua kwenye position nzuri ya kuipigania Dodoma yao, sasa kajiuzulu then what?
Wagogo buana
Bado Kenya inakumbwa na madeni, njaa, ugaidi, unemployment, terrorism na hakuna unafuu wowote unaoletwa na mikutano hiyo zaidi ya kupiga pichaNaona aibu mimi


Hilo toka JPM afariki, lakini sasa wameamua kuyatoa nje kabisa maana yake kumeoza zaidi!Ndugai siyo mpiganaji, ila sijui ni nini kinaendelea huko ndani CCM, inaonekana kumepasuka hasa.
Kenya inajivunia kuongea na Marais watatu wa marekani 😂😂😂Bado Kenya inakumbwa na madeni, njaa, ugaidi, unemployment, terrorism na hakuna unafuu wowote unaoletwa na mikutano hiyo zaidi ya kupiga picha![]()
Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya CCM - NyerereHilo toka JPM afariki, lakini sasa wameamua kuyatoa nje kabisa maana yake kumeoza zaidi!
2025 patatokea kubwa kuliko la 2015
Kenya inajivunia kuongea na Marais watatu wa marekani 😂😂😂
View attachment 2075465
Unaweza kufikiri walikua wanaongea vya maana kumbe ni namna ya kukabiliana na njaa Kenya 😂😂😂😂
kidimbwi

That's like Ksh. 1,157,821 😂😂. We've seen bigger here in KenyaWatanzania ni matajiri Wakunya tueleweni jamani msikaze fuvu 😂😂😂😂
This is for private consumption sio business retailing
View attachment 2075520
Kwn kiswahili siku hizi vipi hko kwenu, ama ilikua anauziwa mzunguWatanzania ni matajiri Wakunya tueleweni jamani msikaze fuvu
This is for private consumption sio business retailing
View attachment 2075520