komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kenya sio km tz mzeeSasa unabisha 95% ya unga mnaotumia hautengenezwi na mzungu na muarabu?


JamiiForums mobile app
Kenya sio km tz mzeeSasa unabisha 95% ya unga mnaotumia hautengenezwi na mzungu na muarabu?


Si utaje hizo 95% millers za wazungu au warabu tuone. Wewe ni champion wa kuropokwa tu. 😂😂😂😂Sasa unabisha 95% ya unga mnaotumia hautengenezwi na mzungu na muarabu?
You're out here criticising our debt but your president is busy decrying those opposed to her taking loans. The irony 😂😂😂
😆😆😆 Karibu mtauzwaYou're out here criticising our debt but your president is busy decrying those opposed to her taking loans. The irony 😂😂😂
Hayo ndiyo mambo watz hatutaki ya kufika huko ....mjambiani mpumbavuu anakopa til1.3 kwa mwezi

for nothingHaaaa kwanza nisisahau nikupe pole kwa mama yako mzenji kwa ugonjwaHuyo kiazi alishajaa makamasi kichwani huwa haelewagi ko unajisumbua tuu.
Ugonjwa ganiHaaaa kwanza nisisahau nikupe pole kwa mama yako mzenji kwa ugonjwa
We can manage our loans. Impoverished countries like Tanzania are the ones that would have their assets repossessed😆😆😆 Karibu mtauzwa
@Tony254
jibu ni rahisi tu 😂😂😂👇👇👇Pole sana, the world bado wanatambua kuwa Tanzania only has 37% connectivity rate🤣🤣🤣
![]()
msaada wa mchina 🤣🤣🤣 ndio maana kashika mpaka akili zenuSo GTC ni magorofa kwa makaratasi? Kweli wewe ni kichaa🤣🤣
Hii lugha huwa hata sijui inasomwa kuanzia upande gani.Maumivu ya nini hapa ni ngoma nzito
не плачь, как маленький ребенок, и не спрашивай одноклассника
ты глупец
upcoming ziko wapi juu ya karatasi 😂😂Upcoming hzo mpka umeshtuka unaita renders
Naona umepigwa na kitu kizito kizito kichwani ghafla
JamiiForums mobile app
jibu ni rahisi tu 😂😂😂👇👇👇
Pole kwa maumivu😂😂😂msaada wa mchina 🤣🤣🤣 ndio maana kashika mpaka akili zenu