Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Eldoret🤔🤔🤔

CCM hata bendera na mazingira huoni?? Hamuoni aibu kusema uongo??
but are you sure th's tanzania?!. proof me wrong plz. it could as well be SA.. ANC also use the same flag and dress cord. chances are, i could be right
 
Production au garage? 🙃
Pole, Kenya is in the industrialization revolution. Nyinyi bado mmekwama kwa ukulima😂😂
1641711917320.png

1641711952836.png

1641712034885.png
 
Hiyo picha ya chini ni kampeni za CCM ngenderek wewe.

Naona wanasiasa wenu wanachukua picha za kampeni za CCM na kuwahadaa wajinga kama wewe kuwa hapo ni Kenya.

Haihitaji kutumia nguvu nyingi kugundua wewe ni kabila gani.
Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz
 
Umenifungulia account mpya baada ya kusema ukweli mchungu kwamba wakenya hata kutengeneza unga wa ugali mumeshindwa Mzungu ndio anaewalisha ugali?

Yaani ninyi akili hamna kabisa, Mzungu ugali ameujulia Africa lakini ndio mlishi wenu mkuu, yeye akitaka kuwamaliza kwa kuwawekea sumu ni dakika 0 sababu hamli ugali bila ridhaa ya Mzungu 🤣🤣🤣🤣

Akitoka Mzungu, Muarabu anapokea kijiti
So this is the Tanzanian stupidity that is so famous across the continent 😂😂😂. I'm not disappointed. Ignorance is bliss and you people are a living, breathing proof of that saying.
 
Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ!

Wonders shall never end.
 
kudadeki Bongo tupo vyemaa kwa hii sekta ya vinywaji asa tungi,ngoja nidamke mda huu nikashtue kilimanjaro zangu 10 samaki samaki maana ghafla koo limeshtuka
Kenya shida ni kipato mkuu kama 86% ya GDP ni madeni hela ya anasa watatoa wapi?
 
So this is the Tanzanian stupidity that is so famous across the continent 😂😂😂. I'm not disappointed. Ignorance is bliss and you people are a living, breathing proof of that saying.
Ni haki kabisa ya komora096 kulaani kilimo sababu kiukweli hakina faida yoyote kwa taifa la Kenya kama chai ni ya Mzungu, maua ni ya Mzungu, unga mnaokula ni wa Mzungu kwa nini asikione kilimo miyeyusho? 😂😂😂

Mzungu kakaba kila angel dadeq, ninyi mfe tu na njaa sababu ndipo penye uhodari wenu!
 
Ni haki kabisa ya komora096 kulaani kilimo sababu kiukweli hakina faida yoyote kwa taifa la Kenya kama chai ni ya Mzungu, maua ni ya Mzungu, unga mnaokula ni wa Mzungu kwa nini asikione kilimo miyeyusho?

Mzungu kakaba kila angel dadeq, ninyi mfe tu na njaa sababu ndipo penye uhodari wenu!
Unafikiria kenya ni km tanzania kila kitu machotara
Yani vile mnapelekeshwa kwenu basi mnafikiri hata huku pia ni vile vile vile..
Poleni sana wazembe..

Ukulima katika karne ya sasa hauna nafasi kw mtu mmoja mmoja...
Ndio manake maskini wamejazana kwenu

JamiiForums mobile app
 
kibongobongo kilimo kinalipa......
labda uko kwenu ndo akilipi
 
kibongobongo kilimo kinalipa......
labda uko kwenu ndo akilipi
kuna jamaa alipiga ml300 kweny kitungu na hakuwa amekipeleka sokoni watu walimfuata shambani wanahitaji mzigo..

ukiachana na vitunguuu kuna wakulima wa parachichi njombe wanpiga helaa achenii.

hata umwelekeze huyo hatokuelewaa
 
Back
Top Bottom