Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usiwe mjinga wewe!

Uwuru na Umoja.

images - 2022-01-09T125903.319.jpeg
 
Wewe bwana IQ yako ni ndogo some time unatuhaibisha sana kwenye huu uzi ,sasa hapo umeonge nini? Mwenyewe tayari kasema kuwa hiyo picha ni tz
yes yes!!.. i knew i was right. this is not Tz but an ANC rally in kwazuluNatal province SA
 
Hiyo picha ya chini ni kampeni za CCM ngenderek wewe.

Naona wanasiasa wenu wanachukua picha za kampeni za CCM na kuwahadaa wajinga kama wewe kuwa hapo ni Kenya.

Haihitaji kutumia nguvu nyingi kugundua wewe ni kabila gani.
wewe ndio ngenderek kabisa.. hii flag ya ANC⁸
d30ydqc-f1ada7d5-026b-4d0c-b7ac-f75ce5543003.png
IMG-20220108-WA0003.jpg
 
Hiyo picha ya chini ni kampeni za CCM ngenderek wewe.

Naona wanasiasa wenu wanachukua picha za kampeni za CCM na kuwahadaa wajinga kama wewe kuwa hapo ni Kenya.

Haihitaji kutumia nguvu nyingi kugundua wewe ni kabila gani.

Mkalenjini huyo 😂😂 kashajianika
 
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ!

Wonders shall never end.
Kwani ujui mimi naandika kiswaili wewe unaandika kiswahili ungewauliza wazoefu jf wange kuambia ,ulipo sema mm natoa comment za ovyo nikaona nikufuatilie za kwako ...nikacheka sana yani comment zako hapa jf nimefuatilia nimeona hata like ukipata ni bahati tu ,tena like ni moja tu
 
Mtu asiyejua kuandikia anajadili kuhusu IQ!

Wonders shall never end.
Sasa wewe unajua historia ya maisha yangu kwenye swala la lugha usithubutu, unipati mm najua lugha 6 na lugha ya kiswahili siyo niliyo somea elimu yangu ndiyo maana unaniona kama sijui kuandika ila ninajua kuandika nikitaka kuandika vizuri naweza ,....mbona wanafunzi ukichati nao utakimbia namna wanavyo andika kiswahili chao au ujawai kuchati na wanafunzi au kuona chati za magrupu yao ? Au unadhani ni lazima uandike kama upo kwenye chumba cha mtihani , sasa acha nikuonyeshe lugha ninazo zijua
1)English wastani
2)Kiswahili
3)Kirusi
4)kikorea wastani
5)kinyarwanda wastani
6) kihaya ...nakijua kidogo kama 40%kihaya na kinysrwanda nakijua wastani kwa sababu nilifanya kazi bukoba na rwanda mm siyo mtu wa huko
Lugha niliyo somea shule ya mwingi na sec ni KIRUSI
Kama utaona nakudanganya nijaribu kwa hizo lugha yoyote
Урок русского языка
 
Kama utaona nakidanganya nijaribu kwa hizo lugha yoyote
Урок русского языка
The Sunk Cost Fallacy njoo beba mtu wako.
 
yes yes!!.. i knew i was right. this is not Tz but an ANC rally in kwazuluNatal province SA
Ya chini ni ccm tz, kwa kuwa uliweka mbili na kusema kampeni za kenya ni kama za tz hivyo nikajua picha za kulinganisha nchi mbili
 
Unafikiria kenya ni km tanzania kila kitu machotara
Yani vile mnapelekeshwa kwenu basi mnafikiri hata huku pia ni vile vile vile..
Poleni sana wazembe..

Ukulima katika karne ya sasa hauna nafasi kw mtu mmoja mmoja...
Ndio manake maskini wamejazana kwenu

JamiiForums mobile app
Sasa unabisha 95% ya unga mnaotumia hautengenezwi na mzungu na muarabu?
 
Back
Top Bottom