Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The Modern and Largest airport Terminal in East and Central Africa
IMG_6977.jpg

IMG_8305.jpg

IMG_4797.jpg

IMG_0250.jpg

IMG_0252.jpg
 
Brother sijui unakwama wapi ni kwamba umegoma kabisa kifikiri kwa kina ama nn tatizo?
Imagine Seattle yenye pop ya watu 724k ina GDP ya $382B while Shenzhen city yenye pop ya watu 12.5M ina GDP ya $413B ni kama zinaendana kiuzalishaji despite of being quite different in terms of population....this is the reason we should respect Americans because they're really smart people n focused...

This is Seattle downtown ....

Shenzhen looks bigger but they produce less sasa sijui nn wanafanya....Hawako smart kama wamarekaniView attachment 2071642
Ila Seattle metro ina watu zaidi ya 4M na hiyo $384 billion ni ya Seattle metro. Ni vile huwa tunaambia wenzenu Nairobi City ni ndogo kushinda Dar City but Nairobi metro imeizidi Dar metro wanatuambia eti tunaongezea Nairobi eneo ndio ishindane na Dar. Metro ndio mambo yote.
 
Ila we jamaa ni kilaza sana GDP per capital ndio utajiri.? 😂😂 Tena unataka kulinganisha mji wa watu 700k na watu 17m pp, fala kweli wewe.. yani huna aibu unaitaja Shenzhen kwenye sentence moja na Seattle .? Ifike mahala uwe na heshima hata robo, leo iwe mara yako ya mwisho, usirudie tena
Kama kawaida wewe opinion zako hua based on emotions tu with very minimal points to support your argument.
Market Cap ya Amazon na Microsoft pekee which are based in Seattle ni kubwa kushinda kampuni zote listed on Shenzen Stock Exchange.
Microsoft $ 2.35T + Amazon $1.65T = 4T Market Cap
Shenzen Stock Exchange $3.90 T
 
Kama kawaida wewe opinion zako hua based on emotions tu with very minimal points to support your argument.
Market Cap ya Amazon na Microsoft pekee which are based in Seattle ni kubwa kushinda kampuni zote listed on Shenzen Stock Exchange.
Microsoft $ 2.35T + Amazon $1.65T = 4T Market Cap
Shenzen Stock Exchange $3.90 T
Anadhani wingi wa watu na maghorofa ndio kila kitu
 
donation nchi ya GDP 😂😂😂😂
a couple of days ago walipewa donation ya maize na Kuwait! Kuwait of all countries, nchi ambayo in jangwa almost 100%, now wanapewa rice donation from China, waangaliwe wasije pews plastic rice. Kenya mnatakiwa muone aibu kwakweli, East Africa biggest economy inapokea food donation its embarrassing kwakweli.
 
Back
Top Bottom