Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uzi umekua wa kisiasa sana mpaka unaboa,kuna watz humu wanadiss kila akifanyacho mama!huo umeme wa elfu 27 kuna watu toka june wameomba umeme na hawajapata,kuna sehemu mama anakosea lakini kuna sehemu yuko sahihi,hata magu kuna sehemu alikua anakosea kama kibinadamu
Tunalipa kodi za nini kama serikali haiwezi kusambaza umeme?
 
Tunalipa kodi za nini kama serikali haiwezi kusambaza umeme?

hili suala la umeme ni sawa na lile la elimu bure.. si ajabu nikisikia wakisema elimu bure haiwezekani...twende na uhalisia!.... chaki bure, sijui peni za walimu bure sijui nn bure haiwezekani (same thing wanavyosema upewe nguzo bure, waya bure haiwezekani)
najua elimu bure kuna mikopo kutoka nje ndo inayoendesha, sasa inashindikana nn kupata mkopo/budget kwenye ishu ya umeme za kununua nguzo etc
 
mawazo yako yaheshimiwe.. lkn serikali inayoweza kulipa posho ya wabunge wanaolala bungeni kwann ishindwe kulipa gharama za kuunganisha umeme kumsaidia mwananchi kupata umeme?

mbunge mmoja posho yake kwa siku ni zaidi ya laki tatu! kwa siku laki tatu!!!! kwa wabunge zaidi ya 300 je? ni ngap hapo kwa siku? kwa siku 12 je? kwa siku 12 nyingine nne nne (vikao vinne kwa mwaka) je? unapata ngap?? sasa kumsaidia mtu mmoja mmoja kuunganisha huo umeme ndo wanaona mzigo mkubwa?

mahesabu ni simple tu.. serikali igharamie sijui kununua nguzo.. sijui mafuta ya gari (hapa wao wenyewe tu wanakula mafuta kuzungukazunguka)
au wakafanya research wanatumia kiasi gan kununua nguzo sijui mafuta sijui vifaa kwa mwaka mmoja.. hio hela wakaiweka kwenye budget ya nchi kbsa.. kama kuna budget ya posho za wabunge.. budget ya kusaidia kuunganisha umeme wanaona ni mzigo? huu ni uzwazwa!

kiufup hili suala haliko sawa.. kupata wateja wengi wa umeme kwa kuwalipisha zaidi ya 300k wasahau.. na umeme utapotea mwingi katikat
Sasa jamani elfu kumi na mbili ndio mnapiga kelele hvo, yani mpka wengine wamekata tamaa kabisa
Alafu utamskia mtu tanzania watu wako vizuri kimsidha kumbe ushibwada mtupu
 
v4.png


d2.png
 
next cabinet reshuffle..
nitakuwa attention kwa majina ya Majaliwa na Nape..
upo sahihi ila tusiwe shua sana,
lazima mama akitaka kusonga aishi na watu wenye madudu,

usimsahau ndungai
 
Mbona wewe ni boya hujisemi
sikuwahi kumkashifu mama ila kama unaakili ndogo inabidi ujiongezs sana kifikra kwa kila kinachoendelea sasa na hata baadaye

la sivyo unajichoresha tu hapa na utaendelea kuonekana bogas,hapo hatupo kwaajili ya kusifia pekee huwa tunachambua negative na positive,usipende kupoteza mda for nothing
 
ni opportunity cost huyo mpotezee!..
mim niko TANESCO..naelewa kila kitu kwenye hizo ishu... sasa ishu sio uhalisia wa gharama ya kuunganisha umeme.. ishu ni serikali inakwepa jukumu lake la kumsaidia mwananchi kuunganishwa umeme.. yan iko hiv.. kama gharama ni laki moja.. serikali iseme mwananchi lipa 27k then serikali italipa 73k ili uunganishwe umeme.. lkn serikali hii inakimbia hili jukumu.. mzigo wote anataka abebeshwe mwananchi ili unganishwe umeme nyumban kwako..
kwa hali hii tusahau kupata idadi kubwa ya consumers
bro tuendelee kuenjoy,
ipo hivi hofu,kutojiamini kwa ukusanyaji wa mapato rasmi ndiyo tatizo,

vingi tu vitatokea ndiyo maana tozo za miamala ikaingilia kati kirahisi tu
 
Hatuna Rais tuko kwenye kipindi cha mpito
kabisa,tuwe wazi
na chakuchekesha unaweza kustaajabu ya mussa ikija report ya mapato ya kipindi chake ukaambiwa kuna upungufu sana wa matumizi ya pesa kiholela kuliko awamu zote au iljyopita

tuendelee kuenjoy ,maana mama anaiharibia gender yake na wasije kutegemea kushika nyadhifa nyeti siku zijazo
 
Soma kitabu cha John Perkins, Confessions of an Economic Hit Man (2004).
This is another level of pettiness. Do you think I would read a 250-page autobiography to get an answer that you can simply just write in a single sentence? Telling me to read a book doesn't make you clever, lad. Just answer my question. What do you mean by "she is an economic hit woman?"
 
Back
Top Bottom