Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipevu oil terminal, Mombasa inazidi kupea Dar gap.

1641410648767.png
 
Tsh 27,000/= is no more
Gharama kuunganishwa kupanda
Shirika linaliegemea sana serikal kuu,linajiendesha kwa hasara ,ufike muda hawa wanasiasa waache ubinafsi kidogo...black iwe black na white iwe white,wawaache wataalam waendeshe hayo mashirika kiufanisi...tatizo akija fulani kwasababu anataka umaarufu anatwist bei Anasogeza ule mzigo sehemu B mwisho wa siku wanaishia kukopa mikopo uko nje...
Wataalam hawanaheshimiwi nchi hii kila kitu ni siasa!!
SSH anabreak huo upuuz taratibu najua kuna watu hapa mtapinga lakini ndio hakuna namna
 
mawazo yako yaheshimiwe.. lkn serikali inayoweza kulipa posho ya wabunge wanaolala bungeni kwann ishindwe kulipa gharama za kuunganisha umeme kumsaidia mwananchi kupata umeme?

mbunge mmoja posho yake kwa siku ni zaidi ya laki tatu! kwa siku laki tatu!!!! kwa wabunge zaidi ya 300 je? ni ngap hapo kwa siku? kwa siku 12 je? kwa siku 12 nyingine nne nne (vikao vinne kwa mwaka) je? unapata ngap?? sasa kumsaidia mtu mmoja mmoja kuunganisha huo umeme ndo wanaona mzigo mkubwa?

mahesabu ni simple tu.. serikali igharamie sijui kununua nguzo.. sijui mafuta ya gari (hapa wao wenyewe tu wanakula mafuta kuzungukazunguka)
au wakafanya research wanatumia kiasi gan kununua nguzo sijui mafuta sijui vifaa kwa mwaka mmoja.. hio hela wakaiweka kwenye budget ya nchi kbsa.. kama kuna budget ya posho za wabunge.. budget ya kusaidia kuunganisha umeme wanaona ni mzigo? huu ni uzwazwa!

kiufup hili suala haliko sawa.. kupata wateja wengi wa umeme kwa kuwalipisha zaidi ya 300k wasahau.. na umeme utapotea mwingi katikat
 
Cku Africa ikijla kustuka kwamba Pesa yote ya maendeleo inaishia bungeni basi dunia itakuwa ina miaka mingi sana.
 
mawazo yako yaheshimiwe.. lkn serikali inayoweza kulipa posho ya wabunge wanaolala bungeni kwann ishindwe kulipa gharama za kuunganisha umeme kumsaidia mwananchi kupata umeme?

mbunge mmoja posho yake kwa siku ni zaidi ya laki tatu! kwa siku laki tatu!!!! kwa wabunge zaidi ya 300 je? ni ngap hapo kwa siku? kwa siku 12 je? kwa siku 12 nyingine nne nne (vikao vinne kwa mwaka) je? unapata ngap?? sasa kumsaidia mtu mmoja mmoja kuunganisha huo umeme ndo wanaona mzigo mkubwa?

mahesabu ni simple tu.. serikali igharamie sijui kununua nguzo.. sijui mafuta ya gari (hapa wao wenyewe tu wanakula mafuta kuzungukazunguka)
au wakafanya research wanatumia kiasi gan kununua nguzo sijui mafuta sijui vifaa kwa mwaka mmoja.. hio hela wakaiweka kwenye budget ya nchi kbsa.. kama kuna budget ya posho za wabunge.. budget ya kusaidia kuunganisha umeme wanaona ni mzigo? huu ni uzwazwa!

kiufup hili suala haliko sawa.. kupata wateja wengi wa umeme kwa kuwalipisha zaidi ya 300k wasahau.. na umeme utapotea mwingi katikat
Sasa nikuulize brother ,serikali inajenga bwawa kwa trillion 6.9 pesa nyingi sana iyo...bado ikuletee huo umeme bure au kwa izo gharama na mita na nyaya nakilakitu...
Wanyooshe maelezo tu hakuna bure bure hayupo tujue moja,hatuwez kuendelea bila mipango
 
Shirika linaliegemea sana serikal kuu,linajiendesha kwa hasara ,ufike muda hawa wanasiasa waache ubinafsi kidogo...black iwe black na white iwe white,wawaache wataalam waendeshe hayo mashirika kiufanisi...tatizo akija fulani kwasababu anataka umaarufu anatwist bei Anasogeza ule mzigo sehemu B mwisho wa siku wanaishia kukopa mikopo uko nje...
Wataalam hawanaheshimiwi nchi hii kila kitu ni siasa!!
SSH anabreak huo upuuz taratibu najua kuna watu hapa mtapinga lakini ndio hakuna namna
Uzi umekua wa kisiasa sana mpaka unaboa,kuna watz humu wanadiss kila akifanyacho mama!huo umeme wa elfu 27 kuna watu toka june wameomba umeme na hawajapata,kuna sehemu mama anakosea lakini kuna sehemu yuko sahihi,hata magu kuna sehemu alikua anakosea kama kibinadamu
 
Shirika linaliegemea sana serikal kuu,linajiendesha kwa hasara ,ufike muda hawa wanasiasa waache ubinafsi kidogo...black iwe black na white iwe white,wawaache wataalam waendeshe hayo mashirika kiufanisi...tatizo akija fulani kwasababu anataka umaarufu anatwist bei Anasogeza ule mzigo sehemu B mwisho wa siku wanaishia kukopa mikopo uko nje...
Wataalam hawanaheshimiwi nchi hii kila kitu ni siasa!!
SSH anabreak huo upuuz taratibu najua kuna watu hapa mtapinga lakini ndio hakuna namna
Yaachwe yote tu TRC, ATC, shirika la meli nk.
Siyo mengine yanasaidiwa Tanesco ndio itoswe
 
mawazo yako yaheshimiwe.. lkn serikali inayoweza kulipa posho ya wabunge wanaolala bungeni kwann ishindwe kulipa gharama za kuunganisha umeme kumsaidia mwananchi kupata umeme?

mbunge mmoja posho yake kwa siku ni zaidi ya laki tatu! kwa siku laki tatu!!!! kwa wabunge zaidi ya 300 je? ni ngap hapo kwa siku? kwa siku 12 je? kwa siku 12 nyingine nne nne (vikao vinne kwa mwaka) je? unapata ngap?? sasa kumsaidia mtu mmoja mmoja kuunganisha huo umeme ndo wanaona mzigo mkubwa?

mahesabu ni simple tu.. serikali igharamie sijui kununua nguzo.. sijui mafuta ya gari (hapa wao wenyewe tu wanakula mafuta kuzungukazunguka)
au wakafanya research wanatumia kiasi gan kununua nguzo sijui mafuta sijui vifaa kwa mwaka mmoja.. hio hela wakaiweka kwenye budget ya nchi kbsa.. kama kuna budget ya posho za wabunge.. budget ya kusaidia kuunganisha umeme wanaona ni mzigo? huu ni uzwazwa!

kiufup hili suala haliko sawa.. kupata wateja wengi wa umeme kwa kuwalipisha zaidi ya 300k wasahau.. na umeme utapotea mwingi katikat
Mimi ingesomeka vizuri kwangu kama wangeweka flat rate., 27,000 vijijini na may be 100,000 "mjini.
Na hizo ziwe gharama za kuungiwa tu,
Mambo ya nguzo, nyaya, mafuta ni kazi ya Tanesco.

Haya ndio mambo unapigia simu police uko kwenye hatari wanakuambia gari halina mafuta.
Itafikia kipindi tutalipia ambulance tukiendelea hivi.
 
Back
Top Bottom