chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,309
- 45,108
Haujui chochote kuhusu huu mradi ni bora unyamaze tu.Hehehe, naona mmeanza kutumia neno metropolitan. Tukiwaambia what Nairobi metropolitan is mlikuwa mnajifanya hamuelewi kumbe ni wivu tu. Huwa mmekazana sana eti Nairobi ni 696 sq.km while Dar ni 1500 sq.km



