Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
hii ndio mikopo tunayoitaka isiokua na riba
Imf wanajua nyie ni masikini.
hii ndio mikopo tunayoitaka isiokua na riba
this is the problem with populist leaders like magufuli....at some point populist ideas have to reconcile with financial realities and that's where the whole thing falls apart.
simply put, mama is making the hard decisions that are REQUIRED!!!!
this whole debt debate you guys are having is a red pill moment for Tanzania that magufuli was shielding you guys from.
onaneni nyinyi matajiri vile munavolia sasa 🤣🤣🤣👇👇👇Imf wanajua nyie ni masikini.
Kujiliwaza pia ni sehemu ya maisha, hata usijali hzo ni hisia potofu tu lkn akili zikirudi utakua sawa hivi karibuni tu
Lc 300 kwn waionaje mkuu, yaonyesha waipenda sana sio bure
nakuonesha vile zilivyozagaa tanzania ni gari za kawaida sana hukuLc 300 kwn waionaje mkuu, yaonyesha waipenda sana sio bure
Tunalia lakini tunalipa nyie hamulii ila mnashindwa kulipa.onaneni nyinyi matajiri vile munavolia sasa 🤣🤣🤣👇👇👇
Mi hata hazinishtui, km mkesha wa mwaka mpya nlikua malindi na bado nkaona watu wana roll nazo..nakuonesha vile zilivyozagaa tanzania ni gari za kawaida sana huku
😂😂😂😂😂😂Imf wanajua nyie ni masikini.
munalia na munahara hapo hapo 🤣🤣🤣Tunalia lakini tunalipa nyie hamulii ila mnashindwa kulipa.
90% ya watanzia hula kw mama nitilie
Habari njema hizi.Another flyover?
Hela ya huu mradi imeshaachiwa, hii project ikikamilika Dar itakua on asteroids
The next biggest thing ever for Dar
View attachment 2069096View attachment 2069097View attachment 2069098View attachment 2069099
Hela ya huu mradi imeshaachiwa, hii project ikikamilika Dar itakua on asteroids
The next biggest thing ever for Dar
View attachment 2069096View attachment 2069097View attachment 2069098View attachment 2069099
I think you should focus on Jubilee affairs, especially when you are going for elections this year, and we pray that you don’t slaughter each other in dozens the way you always do.
Hehehe, naona mmeanza kutumia neno metropolitan. Tukiwaambia what Nairobi metropolitan is mlikuwa mnajifanya hamuelewi kumbe ni wivu tu. Huwa mmekazana sana eti Nairobi ni 696 sq.km while Dar ni 1500 sq.kmI bet kwenye hii project kutakuwa na facelift ya CBD na other strategic places in Dar to give it a real metropolitan look. God Bless Our Beautiful Country.
LitajengwaI bet kwenye hii project kutakuwa na facelift ya CBD na other strategic places in Dar to give it a real metropolitan look. God Bless Our Beautiful Country.