ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
yani nimecheka mpaka basi kisumu ufananishe na mwanza port hahah yani munasafari ndefu sana tena sanaHehehe thanks for these two pictures, hapa kila mtu anaezaona banari ya Kisumu ni zege kila mahali while hiyo ya mwanza ni matope na vumbi🤣🤣🤣🤣
Umeogopa kuweka ya Mwanza?🤣🤣🤣yani nimecheka mpaka basi kisumu ufananishe na mwanza port hahah yani munasafari ndefu sana tena sana
zege liko wapi hapa😂😂😂
View attachment 2067551
nimecheka mpaka basi mm nakwambia hvi kitu munachofanya nyinyi leo mwanza ina miaka zaidi ya 10 ilishafanya 😂😂😂Umeogopa kuweka ya Mwanza?🤣🤣🤣
@Tony254
Tujivunie Tanzania yetu.
anakimbia ligi imekua ngumu 😂😂😂
Ile stand ya mwenge imesimama tokea Magu alipoaga duniaHapa ndio namkubali Jpm, siamini kama angekuwa hai ingekuwa kimya hatusikii mradi mpya hata fununu tu, si ajabu ungesikia ungesikia tunaendeleza njia nane Toka Kibaha mpaka chalinze, au mradi wa treni za mjini dar utaanza nk.
Sisemi mama mbaya ila kwa ubunifu wa miradi Jpm level nyingine,
Siku hizi hata stendi za mabasi tulizokuwa tunashtuka eeh kumbe kuna ujenzi sumbawanga hatuzisikii, vituo vya afya na hospitali za wilaya kimya.
Nadhani ikiisha miradi iliyobuniwa na Magu si ajabu kukawa kimya tukabaki na sgr tu maana hii najua itachukua muda kukamilisha yote.
Uwanja wa ndege mza umesimama wanasema kuna ufisadi, uchunguzi hauishi miezi kadhaa sasaIle stand ya mwenge imesimama tokea Magu alipoaga dunia
KWANI BABA LEVO ALIKUWA HUKU SIKU YA UZINDUZIHiyo pedestrian bridge kulikua na picha humu mdau anavusha bodaboda through that brigde . Halafu kulikua tope (mud) za kutosha . I hope hata hij picha sio recent picture . Ita kua ni kipindi cha uzinduzi
Hawa ni wa tanzaniasisemi kitu View attachment 2067437
Hehehe, unajua shida yenu watanzania mna daraja kama tatu au nne hivi za kuvukia watu nchi nzima na zote ziko Dar. Hapa Kenya madaraja ya kuvuka watu hayahesabiki hata kwa miji midogo na vitongoji kama Londiani yapo. Yani kila kimji kilicho kando ya busy highway hapa Kenya hutakosa footbridge. Natumai hujawai sikia neno Londiani maanake ni kakitongoji tu Kandi ya Barabara Muhimu ya Nakuru - Kisumu. Sasa haya madaraja yanapowekwa sehemu chaotic za mji kama vile masoko au poor residential areas, utapata mambo kama hayo ya kuvusha boda boda yakufurahishe kama mbongo. Tofauti na hayo matatu ya hapo kwenu ambayo ni national treasure mmeyalinda utadhani ni ikulu.🤣🤣Hiyo pedestrian bridge kulikua na picha humu mdau anavusha bodaboda through that brigde . Halafu kulikua tope (mud) za kutosha . I hope hata hij picha sio recent picture . Ita kua ni kipindi cha uzinduzi
Lengo lao ni kutaka kuvutia nchi nyingine za Africa kujiunga kwasababu wameshajua wao wenyewe hawawezi kufika popote, Kama KQ na KLM walishindwa, vipi kuhusu wagonjwa wawili KQ na SAA?Haya mambo ya kise-nge sana. Ndio maana Africa tunadharaulika sababu ya wase-nge kama hawa. Nani kawapa ruhusa ya kutumia jina la Pan-African kwenye biashara zao