Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maza kajitahidi mwanzo nilikua na waswas nae kwamba spidii itapungua katika makusanyo ya kodi ila naona anajitutumua
Japokuwa kodi zinakwepwa sana ila anajitahidi.
Panapostahili pongezi tupongeze na Panapostahili kukosoa tukosea kwa facts sio porojo.
 
cheng du 👇👇👇👇

Video inazunguka tu same place showcasing the amazing interchange na good looking apartments 😂 😂 😂 😂 .., still it does not place Cheng Du above Chicago.., unastahili kutembelea both cities ili uelewe tofauti, kama vile baba levo alifanya btwn Dar na Nai 😂 😂 .., kutembea ni kujionea kikamilifu., pictures and clips can give a deceptive perception.., ni kama ukiangalia Doha in Qatar kwa youtube na ulinganishe na Vienna kwa hizi akili zako unazotumia utasema Doha iko juu kwa ajili ya skyscrapers., but when u visit, utajionea Vienna iko way ahead in class, it is first world in standards kote kote by far licha ya old school buildings, iko mbele ya Doha Qatar.., but Qatar iko na sura ya kupendeza..., I have experience bamzee, kuna tofauti ya kuangalia picha ama video clips na kufika pale wewe mwenyewe na kushuhudia...., ask Baba Levo.., 😂 😂 😂 😂 😂
 
Can't be compared to Chicago still.., those few buildings na road infrastructure zinakupa kiwewe tu.., 😂 😂 😂 😂 😂 ., I like their development though.., angles tofauti za cheng du hazinisumbui.., ila on average, wao wako na better cities kuliko USA., but kwa Chicago., Cheng Du is below it, wewe unaangalia tu urembo wa Cheng Du kisha una conclude., "mwanamke sio sura".
ww unawazimu wa kichwa kufananisha miji iliojengwa 150 yrs ago na miji iliojengwa kisasa zaidi kwenye 30 yrs ago

tatizo lenu nyinyi munamuabudu sana marekani ndio maana hamuwez kubali hata ukweli 🤣🤣🤣

Video inazunguka tu same place showcasing the amazing interchange na good looking apartments 😂 😂 😂 😂 .., still it does not place Cheng Du above Chicago.., unastahili kutembelea both cities ili uelewe tofauti, kama vile baba levo alifanya btwn Dar na Nai 😂 😂 .., kutembea ni kujionea kikamilifu., pictures and clips can give a deceptive perception.., ni kama ukiangalia Qatar kwa youtube na ulinganishe na Vienna kwa hizi akili zako unazotumia utasema Qatar iko juu kwa ajili ya skyscrapers., but when u visit, utajionea Vienna iko way ahead in class, it is first world in standards kote kote by far licha ya old school buildings, iko mbele ya Qatar.., but Qatar iko na sura ya kupendeza..., I have experience bamzee, kuna tofauti ya kuangalia picha ama video clips na kufika pale wewe mwenyewe na kushuhudia...., ask Baba Levo.., 😂 😂 😂 😂 😂
experience ulionayo ww ni yakula githeri na kuzunguka pale CBD ila huna experience yoyote wewe 😂😂😂😂 munadharau miji ya kichina na ndio imeendelea duniani kama hujui
 
Akili za battle ya Nai vs Dar toa hapa., now engage reason and intelligence, do proper comparison analysis, wacha kukurupuka tu na vipicha vya kupendeza, with apartments kibao, tena ndefu., yaani hizo ndio makazi za watu wengi pale, kwa ajili ya population nyumba zinajengwa kuelekea hewani, thus dense, so inakupa illussion unadhani Cheng Du can level with Chicago.., haiwezi bamzee., kuna many factors to consider.., kwani wewe uko vipi? sio kila mahali unatumia akili ya mapicha na mtazamo., shirikisha na ubongo pia.,
wachina wako mbali sana kwenye dunia hii ya leo amini usiamini 🤣🤣🤣
 
Video inazunguka tu same place showcasing the amazing interchange na good looking apartments 😂 😂 😂 😂 .., still it does not place Cheng Du above Chicago.., unastahili kutembelea both cities ili uelewe tofauti, kama vile baba levo alifanya btwn Dar na Nai 😂 😂 .., kutembea ni kujionea kikamilifu., pictures and clips can give a deceptive perception.., ni kama ukiangalia Doha in Qatar kwa youtube na ulinganishe na Vienna kwa hizi akili zako unazotumia utasema Doha iko juu kwa ajili ya skyscrapers., but when u visit, utajionea Vienna iko way ahead in class, it is first world in standards kote kote by far licha ya old school buildings, iko mbele ya Doha Qatar.., but Qatar iko na sura ya kupendeza..., I have experience bamzee, kuna tofauti ya kuangalia picha ama video clips na kufika pale wewe mwenyewe na kushuhudia...., ask Baba Levo.., 😂 😂 😂 😂 😂
cheng du city mzee wa experience 🤣🤣

Hii pia ni Chengdu.

images (5).jpeg
 
experience ulionayo ww ni yakula githeri na kuzunguka pale CBD ila huna experience yoyote wewe 😂😂😂😂 munadharau miji ya kichina na ndio imeendelea duniani kama hujui
Ona vile unajibu, kiboya sana 😂 😂 😂 ,haupendi ukweli kabisaa, ila hakuna sehemu nimeona mtu amedharau miji za ki china, ilikua kulinganisha Cheng Du na Chicagi tu, yani unalazimisha fikra zako tu na mtazamo wako.., nimesema on average china iko na cities kibao zilizo endelea kuliko USA or any in the world, hiyo kwa akili zako ni dharau ama unakurupuka tu ovyo ovyo angalau uonekane umejibu? pole bro 😂 😂 😂 😂 😂 bamzee ni 2022, badilika na wewe, mature bro.., zile debate za kitoto sasa weka pembeni..,
 
Chicago city.., Chengdu level yake ni akina Qatar, Dubai na cities in Vietnam..., inakuja lakini bado sana kwa Chicago on average., Chicago ni first standards.., in all fronts ata muonekano.., Chengdu is merely a modern metropolis, with big population, na lower standards in comparison to Chicago
View attachment 2067844
View attachment 2067845
View attachment 2067842
View attachment 2067837
View attachment 2067838
View attachment 2067840
View attachment 2067841
View attachment 2067846
View attachment 2067848
View attachment 2067849
Heb toa maoni yako tena kwa ufasaha bro, Chengdu 👇
chengdu_china_1641071251637192.jpg
chengdu_china_16409635102032.jpg
chengdu_china_1640964847410592.jpg
chengdu_china_16409647614057.jpg
chengdu_china_164096153987279.jpg
chengdu_china_1640963407471754.jpg
chengdu_china_1640963233354298.jpg
chengdu_china_1640963233353964.jpg
chengdu_china_1640963233354126.jpg
chengdu_china_1640963182379902.jpg
chengdu_china_1640964886583198.jpg
chengdu_china_1641283303153242.jpg
chengdu_china_1641283365594350.jpg
pitia video hii👇. Na hii 👇. Yani kwakifupi Chengdu ni kubwa kuliko Chicago kivyovyote, labda ulete sababu ambozo hazionekani, ila kwa vinavyoonekana Chicago is behind Chengdu..
 
Ona vile unajibu, kiboya sana 😂 😂 😂 ,haupendi ukweli kabisaa, ila hakuna sehemu nimeona mtu amedharau miji za ki china, ilikua kulinganisha Cheng Du na Chicagi tu, yani unalazimisha fikra zako tu na mtazamo wako.., nimesema on average china iko na cities kibao zilizo endelea kuliko USA or any in the world, hiyo kwa akili zako ni dharau ama unakurupuka tu ovyo ovyo angalau uonekane umejibu? pole bro 😂 😂 😂 😂 😂 bamzee ni 2022, badilika na wewe, mature bro.., zile debate za kitoto sasa weka pembeni..,
punguzeni kukariri maisha na tatizo kubwa mulionalo wakenya ni kudhani usa ni kama mbinguni hvi wakat kwa dunia ya leo kuna miji mingi sana imeendelea na hakuna miji imejengeka kwa kasi kama chini mzee

kubali kataa 😂😂😂😂😂😂
 
jamaa hajui Cheng Du, akili anazo tumia ku compare Dar na the mighty Nairobi 😂 😂 😂 😂 .., alafu ata clips za CBD ya ChengDu ni rotating around same places.., a good city but way below Chicago which has class, status and economy. Standards!, ata wachina wenyewe watakuambia..,
 
Heb toa maoni yako tena kwa ufasaha bro, Chengdu 👇View attachment 2067983View attachment 2067985View attachment 2067986View attachment 2067987View attachment 2067988View attachment 2067989View attachment 2067990View attachment 2067991View attachment 2067992View attachment 2067994View attachment 2067995View attachment 2068008View attachment 2068009pitia video hii👇. Na hii 👇. Yani kwakifupi Chengdu ni kubwa kuliko Chicago kivyovyote, labda ulete sababu ambozo hazionekani, ila kwa vinavyoonekana Chicago is behind Chengdu..

walizoea kukariri maisha na kufkiri usa ni kama mbinguni hvi kumbe miji ya usa mingi imezeeka 🤣🤣🤣🤣
 
nye nye nye nimewatch video zote uhehehhehehehhe ngoma inakutokea puani sasa hvi 🤣🤣🤣🤣
Kwa kenya wao malls ni maendeleo, twende nao ground nini battle ya malls kati ya Chicago na Chengdu, waone vile Chicago wanalazwa chali na mchina wa hapo mjini Chengdu.?
 
jamaa hajui Cheng Du, akili anazo tumia ku compare Dar na the mighty Nairobi 😂 😂 😂 😂 .., alafu ata clips za CBD ya ChengDu ni rotating around same places.., a good city but way below Chicago which has class, status and economy. Standards!, ata wachina wenyewe watakuambia..,
wachina watatuambia nini 😂😂😂 yani nairobi ufananishe na dar labda chizi pekee ndio atakubali yani nairobi ni mji mdogo sana kwa dar yani napokwambia mdogo ujue ni mdogo kweli jengeni mji bado sana munasafari ndefu sana
 
punguzeni kukariri maisha na tatizo kubwa mulionalo wakenya ni kudhani usa ni kama mbinguni hvi wakat kwa dunia ya leo kuna miji mingi sana imeendelea na hakuna miji imejengeka kwa kasi kama chini mzee

kubali kataa 😂😂😂😂😂😂
Sijapinga China kujengeka kwa kasi wala nini, wacha visingizio, eti USA blah blah blah.., debate ni Cheng Du na Chicago., wacha hizi akili za abunuasi na kujitia hamnazo ili kukwepa 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom