Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20220103_131239.jpg
spectacular Nairobi shot..
 
Balance of trade imekua pande yetu for years, 2021 tuliongeza imports za mahindi due to rising local demand na zingine za South Sudan. Mbao na paper products pia tumeongeza kwa idadi kubwa ju tumerevive pan paper mills so tunahitaji raw materials kwa wingi.

Hizo finished products unataja mbona sio top earners kwenu. Hizo ni a drop in the ocean.
Wametushinda mwezi moja pekee - June 2021. Usiwape sifa za bure.
 
Hahahaha, Kenya ndiyo ilikua biggest Exporter to all other EA Countries, tangu Magufuli ameingia madarakani vitu vimegeuka "upside-down

Kumbuka "to overtake is not an event rather than gradual process", kila mwaka tulikua tunapunguza "gap", mlikua mnaona na mlishindwa kuzuia
 
Balance of trade imekua pande yetu for years, 2021 tuliongeza imports za mahindi due to rising local demand na zingine za South Sudan. Mbao na paper products pia tumeongeza kwa idadi kubwa ju tumerevive pan paper mills so tunahitaji raw materials kwa wingi.

Hizo finished products unataja mbona sio top earners kwenu. Hizo ni a drop in the ocean.
Hakuna neno "top earner", jumla ya pesa tunayokusanya kwa kuwauzia bidhaa zote kwa ujumla hata Kama ni kiberiti, onyesha ni bidhaa gani kubwa Kenya inauzia Tanzania zaidi ya maziwa na Sigara
 
Uganda imports from Kenya = $ 773M
Uganda imports from Tanzania = $743M
Kenya wins

Rwanda imports from Kenya = $278M
Rwanda imports from Tanzania = $269
Kenya wins

Burundi imports from Kenya = $47M
Burundi imports from Tanzania = $77M
Tanzania wins

Tanzania imports from Kenya = $294M
Kenya imports from Tanzania = $258M
Kenya wins

Tanzania only wins in Burundi. So who's the real giant.
Unajua miaka 15 iliyo pita mambo yalikuwaje ? Siku zote nasema wakenya hawana akili wala awajui wanaenda wapi
 
Hahahaha, Kenya ndiyo ilikua biggest Exporter to all other EA Countries, tangu Magufuli ameingia madarakani vitu vimegeuka "upside-down

Kumbuka "to overtake is not an event rather than gradual process", kila mwaka tulikua tunapunguza "gap", mlikua mnaona na mlishindwa kuzuia
Hawataki kusikia huu ukweli mchungu.
 
Yes. Indeed hawa watu wanaodhani kuwa maghorofa marefu Ndio inamaanisha kuwa umasikini hakuna wanapaswa kuelimishwa. Na pia watambue kuwa karibu Nchi zote za Far East zina population kubwa sana na rapid urbanization. Hivyo residential buildings nyingi kwenye miji ni maghorofa. Hence, sababu ya aina hiyo ya majengo ipo. European cities, on the other hand, are dotted with centuries old buildings. Na pia hawapendi kujenga maghorofa marefu ili ku-preserve architecture yao ya kale kama ulivyosema. Japokuwa majengo yao ni ya zamani, nchi za Europe zina HDI kubwa. Hivyo correlation wanayojaribu kuisema haina mantiki yoyote.
Mbona Kenya wanasaidiwa maghorofa na mchina INA maana population imekuwa kubwa kuliko uwezo wao .😂😂😂
 
Uganda imports from Kenya = $ 773M
Uganda imports from Tanzania = $743M
Kenya wins

Rwanda imports from Kenya = $278M
Rwanda imports from Tanzania = $269
Kenya wins

Burundi imports from Kenya = $47M
Burundi imports from Tanzania = $77M
Tanzania wins

Tanzania imports from Kenya = $294M
Kenya imports from Tanzania = $258M
Kenya wins

Tanzania only wins in Burundi. So who's the real giant.
Kwa data zako hizo sasa huoni Tanzania kwa kipindi kifupi inakuja kwa kasi kuwa east Africa giant.
 
Unajua miaka 15 iliyo pita mambo yalikuwaje ? Siku zote nasema wakenya hawana akili wala awajui wanaenda wapi
Miaka 15 iliyopita, ndio Kenya ilikuwa imepita Tanzania kiuchumi. Hadi 2004, uchumi wa Tanzania ulikuwa juu ya Kenya - sahii uchumi wa Kenya unakaribia double wa Tanzania. Sasa anayeelekea pabaya?
 
Back
Top Bottom